sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 2,568
- 7,430
Lazima wote tukubali moja ya products kubwa amewai zitengeneza Diamond Platnumz ni huyu dogo wa kuitwa Harmonize.
Harmonize alipokuwa wasafi alikuwa anafanya vizuri sana na hata baada ya kutoka alijitahidi kwenda na upepo wa mashabiki fulani ambao ni haters wa WCB.
Siku zimeenda mambo yamebadilika haipo tena kama awali.
Watu kitaa hawakooi tena wala bodaboda huzisikii tena zikilia yao yaoh.
Sijui wenzangu mnashauri nini huyu msanii bado tunamhitaji naamini amejifunza mengi baada ya kuanza kuwa chini ya Sebastian Ndege lebo yake ni kama haipo tena.
Sasa nimeshtuka juzi naelezwa Harmonize uku kwenye show watu wamemkimbia.
Yani ukumbi umejaa masaki na yeye mitandaoni kashajitamba kafanya sold out ya mauzo na show ilikuwa ni yake pamoja na Sautisol.
Alimaliza maneno yote na kuahidi ataingia na Hamisa (kick za kitoto).
Baada ya Sautisol kumaliza show yao taratibu watu wakaanza kutoka mmoja mmoja. Mwisho Harmonize akabaki anaimbia viti.
Hii si ishara nzuri sana pamoja na mapungufu yake ambayo mengi yanasababishwa na ukijijini lakini bado tunahitaji lile vibe laekukohoa watu wanashangilia. Diamond katumia resources nyingi sana kumfikisha juu huyu dogo pengine kuliko msanii yoyote pale WCB na faida ameanza kuiona mwishoni wakati dogo anataka kumkimbia.
Wale ambao siku zote mmekuwa mnamshangilia basi mapema jaribuni kumpa ushauri sisi wajuzi wa hii industry kuna kitu tunakiona sio kizuri.
Video 📷 ya event kwa hisani ya bongo5
View: https://youtu.be/okOApZhB9F8?si=_G91WBLio9MxDVBT