Post namba 41 nakunukuu
"Sijamlazimisha huo ni ukweli.
Alikosea.
Mimi kukosea kwangu kwa kuandika Gattuso akufanyi yeye awe sahahi kwa kusema fainali ni kati ya Italy na Germany.
By the way ni kumbukumbu tu zilinipotea ni muda mrefu since nishuhudie hiyo game.
Wewe umemrekebisha jamaa aliyesema kuhusu mechi ya Germany vs Italy na kisha ukakosea kuhusu aliyepigwa kichwa ndipo watu wakaruka na wewe kuwa sio Gatuso ni Materazzi. Wewe umeingiwa na jazba kukosolewa na umekiri kuwa ni tukio la muda mrefu, sasa unamkomalia mwenzio aliyesema fainali ya Germany vs Italy ndiye mwenye mapungufu ya kukosea? Kukosea ni jambo la kawaida kwa binadamu ila wewe unataka kuonesha kama kitu cha ajabu vile.