Hamisi senga
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 327
- 332
MWamba sana
Halafu kuna wale watu wa TV3uchambuzi wao huwa unanishangaza sana. Pia kuna Kitenge, yeye hafichi mapenzi yake kwa Yanga, na hafichi CHUKI yake kwa Simba. Hii fani imevamiwa!Huyu ndio alitakiwa kuwa mwalimu wa wachambuzi yani uwezi kuona kasoro.
Leo baba levo naye ni mchambuzi
Yeah it was Marco Materrazi.Zinadane alimtwanga kichwa Gatuso gani??
Gatuso au Materaz??
90,19 kweusi ni 1912 hukoNi 19 kweusi sio 90 kweusi
Kawaida sana hiyoMzee huyu kamari ipo damuni kuna siku aliacha gari bond pale seacliff casino!
Tafuta kauli ya colina kuhusu hiyo kadiIle red card ilikua halali
Asante Kwa masahihishoIle game golini alianza jens lehman na ndie alikula umeme dakika za mwanzoni tu nafikiri ilikua around dakika 15 hivi
alifanya nipende soka la ulayaView attachment 3279077
Rejea Majukwa makubwa ya soka Enzi hizo kama
•Ligi kuu za Ulaya
•UEFA Champions league
•FIFA World Cup
Unamkumbukaje Mzee wetu Dokta Leakey Abdallah ?
Colina alisemajeTafuta kauli ya colina kuhusu hiyo kadi
Refa anapaswa kunyongwa na asiruhusiwe kuchezesha tena mpira,yule refa alikua wa dharura,refa mwenyewe siku ya mechi alidai anaumwa,akapewa huyo,wakati anapewa taarifa za kuchezesha mechi alikua kavaa jezi ya barcelonaColina alisemaje
Nataka kauli ambayo Colina ameongelea uhalali au ubatili wa ile red cardRefa anapaswa kunyongwa na asiruhusiwe kuchezesha tena mpira,yule refa alikua wa dharura,refa mwenyewe siku ya mechi alidai anaumwa,akapewa huyo,wakati anapewa taarifa za kuchezesha mechi alikua kavaa jezi ya barcelona
Sasa ingekua halali angetaka refa asipewe tena mechi!?Nataka kauli ambayo Colina ameongelea uhalali au ubatili wa ile red card
Wale wenye jicho la mpira wanaona kabla mechi haijachezwa kutokana na tabia za wachezaji.Mfano unajua kabisa beki za yanga zitasababisha penalty kumkaba Mpanzu au Kibu hivyo mashabiki wao wanaanza kampeni ya propaganda eti Simba anapata penalty za mchongoSitamsahau alichambua final ya Arsenal vs Barcelona 2006.
Akasema Arsenal atafungiwa 2_1
Na Arsenal atapata red cardna kweli Aluminia alipata red card
😂😂Gatutuso!! Afu unamlazimisha mwenzio acheki facts zake🙌🙌🚶2006 fainali ni kati ya Italy na France sio Germany.
Tukio maarufu ni red card ya Zidane kufuatia kumtwika kichwa Gattuso.
Recheck your facts.