Under-cover
JF-Expert Member
- Nov 13, 2023
- 2,211
- 3,517
..
Chagua mmoja anayeweza kuelezea mpira Kati ya hawaHuyu mtaalamu apewe mau yake kwa enzi zake alikua ndiye mchambuzi pekee aliyekua anauwezo wa kuchambua mpira nyakati zake kwasababu alikua anafiatilia sana ligi za mbele
Ila kiukweli kabisa Dr Leaky alikua ni mjanja mjanja tu na vi historia vingi kama vi handle vya Mzaramo wa sports extra ya Clouds fm
Akianza kukupa visa vya wachezaji makocha marefa viwanja mashabiki nk utapenda kumsikiliza
Na kuna uongo mwingi kwamba jamaa alikua anajua kuchambua na mtaalamu wa kubet hadi makampuni ya kubet yakawa yanamzuia asibet na wengine wakadai makampuni ya kubet ilibidi yamuajiri wamlipe ili asiwafisili😂
Kwa bahati mbaya umemruka Amri Kiemba..... huyu mwamba ukiondoa kupenda kucheka anaujua mpira in and out na anajua kuuelezea kwa jicho la mchezaji, jicho la ukocha na jicho la kichambuzi na jicho la ushabikiChagua mmoja anayeweza kuelezea mpira Kati ya hawa
Tigana Lukinja
Eddo Kumwembe
Dokta Leakey
George Ambangile
Mbwaduke
MAYAI Tembele
Ally Kamwe
Wilson Oruma
Kashushu
Aliepewa red card ni Jens LehmanSitamsahau alichambua final ya Arsenal vs Barcelona 2006.
Akasema Arsenal atafungiwa 2_1
Na Arsenal atapata red card ♦️ na kweli Aluminia alipata red card
Mkuu wewe kweli unamjua vizuri sana DR LeakyHuyu alikuwa DR kweli
anamambo mawili muhimu kwenye uchambuzi
(1)hakuna taifa asilolijua kwa mpira na mpira wenyewe (kuchambua
(2)Historia za kitawala kwenye mataifa hayo mawili yanayokuwa kwenye ratiba ya mtanange sikuhiyo
mfano ,sikuhiyo wacheze ureno na Angola au ureno na msumbiji au ureno na Hispania
Kama kesho yake unamtihani wa histori ,acha kufungua daftari nenda kaangalie mechi majibu yoye utapata kwake.....kwasasa Yuko wapi cjui
Wilson Oruma nae watu wanamuona ni mchambuzi? DuhChagua mmoja anayeweza kuelezea mpira Kati ya hawa
Tigana Lukinja
Eddo Kumwembe
Dokta Leakey
George Ambangile
Mbwaduke
MAYAI Tembele
Ally Kamwe
Wilson Oruma
Kashushu
namfahamu ndo muhindi pekee pia rafudhi ya kiswahili na English sanifu na anasikika huchoki msikiliza .......wengine Hawa wakizungumza unaona mbona kama puani kunakamasi na nyingine mdomoni ....Mkuu wewe kweli unamjua vizuri sana DR Leaky
Ni mzuri mmno kuelezea matukio na historia za timu husika
Hivi hii game ndo sol Campbell alivunjika pua..?Sitamsahau alichambua final ya Arsenal vs Barcelona 2006.
Akasema Arsenal atafungiwa 2_1
Na Arsenal atapata red card ♦️ na kweli Aluminia alipata red card
Mpira kwa sehemu kubwa ni kuandika Historia na kurudia Historia. Watunza stats ndio Hawa hawa watunza historia.. Je unaamini hayafahamu ya Tactical analysis ?Dr Leaky ni mtaalamu zaidi wa kuhadithia matukio na historia ya visa vya wachezaji makocha mashabiki viwanja, uhasama wa timu nk nk
Kama kapata nafasi anakaa na Master Lukinja wakaujadili mpira acha awe mchambuzi hata Kama akiwa was daraja la chini.Wilson Oruma nae watu wanamuona ni mchambuzi? Duh
Mkuu mfano ikiwa inacheza Brazil Vs Argentina halafu wachambuzi wakawa ni Lukinja na Dr LeakyMpira kwa sehemu kubwa ni kuandika Historia na kurudia Historia. Watunza stats ndio Hawa hawa watunza historia.. Je unaamini hayafahamu ya Tactical analysis ?