Unamkumbuka Dk. Leakey Abdallah?

Unamkumbuka Dk. Leakey Abdallah?

Sitamsahau alichambua final ya Arsenal vs Barcelona 2006.
Akasema Arsenal atafungiwa 2_1
Na Arsenal atapata red card ♦️ na kweli Aluminia alipata red card
Miaka hii mpira hauna maigizo ya var
 
Afungue chuo cha wachambuzi
Huyu jamaa alikuwa anaweza kukuambia nini makocha wa timu wanafikiria baada ya kipindi Cha kwanza kuisha na anachokizungumza kinaenda kutokea kwel
Mf alikuwa naewza kukuambia ili hii timu ipate matokeo atolewe barua aingie mpanzu pia atoke Debora na chasambi waingie Ngoma na kibu oya kinachoenda kutokea ni km vile jamaa Yuko benchini kma mshauri wa kocha na matokeo yanaptikana kweli
 
Hii ndio hasara ya ku skip comments.

Una uhakika sija admitt hayo makosa?

Umepitaia comment zangu zote katika uzi huu?
Jitahidi kuwa na uhakika wa "post" kabla ya kubonyeza "submit" button....

Samahani kama nimekukwaza...
 
Sijamlazimisha huo ni ukweli.

Alikosea.

Mimi kukosea kwangu kwa kuandika Gattuso akufanyi yeye awe sahahi kwa kusema fainali ni kati ya Italy na Germany.

By the way ni kumbukumbu tu zilinipotea ni muda mrefu since nishuhudie hiyo game.
Kumbuka zinaitwa fainali za kombe la dunia
 
Tanzania ilipopata stesheni za TV kwa mara ya kwanza mwaka 1994 (zilikuwa tatu tu wakati huo) ndipo nilipokuwa namuona DTV na mara nyingine CTN. Yuko wapi siku hizi? Wachambuzi uchwara wamekuwa wengi sana siku hizi baada ya vituo vya TV kuwa vingi
ali kuwa pale tv1 kabla haija uzwa
 
View attachment 3279077

Rejea Majukwa makubwa ya soka Enzi hizo kama
•Ligi kuu za Ulaya
•UEFA Champions league
•FIFA World Cup

Unamkumbukaje Mzee wetu Dokta Leakey Abdallah ?
Huyu mtaalamu apewe mau yake kwa enzi zake alikua ndiye mchambuzi pekee aliyekua anauwezo wa kuchambua mpira nyakati zake kwasababu alikua anafiatilia sana ligi za mbele

Ila kiukweli kabisa Dr Leaky alikua ni mjanja mjanja tu na vi historia vingi kama vi handle vya Mzaramo wa sports extra ya Clouds fm
Akianza kukupa visa vya wachezaji makocha marefa viwanja mashabiki nk utapenda kumsikiliza

Na kuna uongo mwingi kwamba jamaa alikua anajua kuchambua na mtaalamu wa kubet hadi makampuni ya kubet yakawa yanamzuia asibet na wengine wakadai makampuni ya kubet ilibidi yamuajiri wamlipe ili asiwafisili😂
 
View attachment 3279077

Rejea Majukwa makubwa ya soka Enzi hizo kama
•Ligi kuu za Ulaya
•UEFA Champions league
•FIFA World Cup

Unamkumbukaje Mzee wetu Dokta Leakey Abdallah ?
Nakumbuka fainali ya 1986 Argentina VS England.
Leakey alisema Diego Maradona atafunga goal hata kwa utata, na ikawa hivyo.
Hadi Argentina akabeba ndoo.
Huyu ndo Mchambuzi wa kweli hapa Tanzania.
Hivi yuko wapi Now days??
 
Mkuu huu uchambuzi aliufanyia stasheni gani mwaka huo wa 1986?
Stasheni ya kwanza binafsi kwa Radio na Tv ni Itv/Radio One 1994, baadae ndio wakafuata akina CTN ambako Dr Leaky alianza kuchambua

Kuna uongo mwingi sana kuhusu Dr Leaky kuliko ukweli wa simulizi kumuhusu
 
Wale wenye jicho la mpira wanaona kabla mechi haijachezwa kutokana na tabia za wachezaji.Mfano unajua kabisa beki za yanga zitasababisha penalty kumkaba Mpanzu au Kibu hivyo mashabiki wao wanaanza kampeni ya propaganda eti Simba anapata penalty za mchongo
Huyo Yanga mara ya mwisho alimfunga lini? Kweli mpira umevamiwa au umesahau kuwa ni ninyi munaolia kila siku kuwa GSM anahonga timu upinzani? Au umesahau ni ninyi mulipigwa 5 mukalalamika kuwa wachezaji wenu walihongwà?
 
Nakumbuka fainali ya 1986 Argentina VS England.
Leakey alisema Diego Maradona atafunga goal hata kwa utata, na ikawa hivyo.
Hadi Argentina akabeba ndoo.
Huyu ndo Mchambuzi wa kweli hapa Tanzania.
Hivi yuko wapi Now days??
Huyo mzee alikuwa na access na mitandao na alikuwa anadesa sana kabla ya kuingia studio.
 
Huyo Yanga mara ya mwisho alimfunga lini? Kweli mpira umevamiwa au umesahau kuwa ni ninyi munaolia kila siku kuwa GSM anahonga timu upinzani? Au umesahau ni ninyi mulipigwa 5 mukalalamika kuwa wachezaji wenu walihongwà?
Achana na watu kama hao hawajui chochote.
 
Back
Top Bottom