Unamkumbuka Dk. Leakey Abdallah?

Unamkumbuka Dk. Leakey Abdallah?

😂😂Gatutuso!! Afu unamlazimisha mwenzio acheki facts zake🙌🙌🚶
Sijamlazimisha huo ni ukweli.

Alikosea.

Mimi kukosea kwangu kwa kuandika Gattuso akufanyi yeye awe sahahi kwa kusema fainali ni kati ya Italy na Germany.

By the way ni kumbukumbu tu zilinipotea ni muda mrefu since nishuhudie hiyo game.
 
Wale wenye jicho la mpira wanaona kabla mechi haijachezwa kutokana na tabia za wachezaji.Mfano unajua kabisa beki za yanga zitasababisha penalty kumkaba Mpanzu au Kibu hivyo mashabiki wao wanaanza kampeni ya propaganda eti Simba anapata penalty za mchongo
Huu mfano .. ni uhalisia kabisa
 
Sijamlazimisha huo ni ukweli.

Alikosea.

Mimi kukosea kwangu kwa kuandika Gattuso akufanyi yeye awe sahahi kwa kusema fainali ni kati ya Italy na Germany.

By the way ni kumbukumbu tu zilinipotea ni muda mrefu since nishuhudie hiyo game.
😂😂Sasa huo ukamilifu wako wqkumkosoa mwenzio ili hali wewe pia unaweza kukosea/kusahau unapata wapi?.
 
2006 fainali ni kati ya Italy na France sio Germany.

Tukio maarufu ni red card ya Zidane kufuatia kumtwika kichwa Gattuso.

Recheck your facts.
Alikuwa Materrazi kama sikosei. Gattuso kichaa zingepigwa.

Nadhani kioja alichofanya Gattuso ni kubaki na boxer akisherehekea ubingwa
 
Kwahiyo aliyrpigwa kadi nyekundu alikuwa Gattuso?.
Wewe ni zaidi ya mpumbavu.

Kuna sehemu nimeandika Gattuso kapewa kadi nyekundu?

Aliyepewa kadi nyekundu ni Zidane ndicho nlichoandika.Kimakosa nikaandika baada ya kumpiga kichwa Gattuso which is not true alikuwa ni Materrazi.

Sasa wewe unacho complain ni nini?

Au ni mke wa jamaa umejiskia vibaya kumkosoa mumeo?
 
Sijamlazimisha huo ni ukweli.

Alikosea.

Mimi kukosea kwangu kwa kuandika Gattuso akufanyi yeye awe sahahi kwa kusema fainali ni kati ya Italy na Germany.

By the way ni kumbukumbu tu zilinipotea ni muda mrefu since nishuhudie hiyo game.
Binadamu kaumbwa kukosea, na ndio maana hata wewe mrekebishaji pia umekosea kuelezea tukio la aliyepigwa kichwa. Kwanini unalazimisha mwenzio ndio aonekane kakosea wakati hata wewe umekosea? Hilo funzo kwako kuwa kwa namna ambavyo kakosea inaweza kutokea kwa yeyote yule kukosea na mfano halisi imetokea kwako wewe mwenyewe.
 
Alikuwa Materrazi kama sikosei. Gattuso kichaa zingepigwa.

Nadhani kioja alichofanya Gattuso ni kubaki na boxer akisherehekea ubingwa
Pendent kusoma mbona kuna sehemu nimeshakubali kwamba ni Materrazi au unafikri mpaka sasa nakataa kwamba si Materrazi?
 
Wewe ni zaidi ya mpumbavu.

Kuna sehemu nimeandika Gattuso kapewa kadi nyekundu?

Aliyepewa kadi nyekundu ni Zidane ndicho nlichoandika.Kimakosa nikaandika baada ya kumpiga kichwa Gattuso which is not true alikuwa ni Materrazi.

Sasa wewe unacho complain ni nini?

Au ni mke wa jamaa umejiskia vibaya kumkosoa mumeo?
Naona nyege zimekupanda sasa 😂
 
Binadamu kaumbwa kukosea, na ndio maana hata wewe mrekebishaji pia umekosea kuelezea tukio la aliyepigwa kichwa. Kwanini unalazimisha mwenzio ndio aonekane kakosea wakati hata wewe umekosea? Hilo funzo kwako kuwa kwa namna ambavyo kakosea inaweza kutokea kwa yeyote yule kukosea na mfano halisi imetokea kwako wewe mwenyewe.
Kwani kuna sehemu nimekataa sijakosea?

Unaweza kunionesha wapi nimekataa sijakosea?

Nikikuoekea ushahidi wa kukubali utasemaje?

Msipende ku skip comments someni zote muelewe.
 
Binadamu kaumbwa kukosea, na ndio maana hata wewe mrekebishaji pia umekosea kuelezea tukio la aliyepigwa kichwa. Kwanini unalazimisha mwenzio ndio aonekane kakosea wakati hata wewe umekosea? Hilo funzo kwako kuwa kwa namna ambavyo kakosea inaweza kutokea kwa yeyote yule kukosea na mfano halisi imetokea kwako wewe mwenyewe.
Hilo ni lishamba na limbukeni, anahisi mtu kusahauni jambo la ajabu...
 
Wewe ni zaidi ya mpumbavu.

Kuna sehemu nimeandika Gattuso kapewa kadi nyekundu?

Aliyepewa kadi nyekundu ni Zidane ndicho nlichoandika.Kimakosa nikaandika baada ya kumpiga kichwa Gattuso which is not true alikuwa ni Materrazi.

Sasa wewe unacho complain ni nini?

Au ni mke wa jamaa umejiskia vibaya kumkosoa mumeo?
Wanawake wa siku hizi utawaweza?
 
Naona nyege zimekupanda sasa 😂
This is what we call a psychological projection.

Nyege upandwe wewe uanze kunisingizia mimi.

Kama mumeo akutoshelezi sema tukutafutie mwanaume mwingine.
 
Binadamu kaumbwa kukosea, na ndio maana hata wewe mrekebishaji pia umekosea kuelezea tukio la aliyepigwa kichwa. Kwanini unalazimisha mwenzio ndio aonekane kakosea wakati hata wewe umekosea? Hilo funzo kwako kuwa kwa namna ambavyo kakosea inaweza kutokea kwa yeyote yule kukosea na mfano halisi imetokea kwako wewe mwenyewe.

Screenshot_20250323-094929.jpg
 
Back
Top Bottom