Hivyo tabia za wanawake kurembua ni dalili za kukumbwa na na hilo shetani.Karembua[emoji15][emoji87][emoji87][emoji85][emoji86][emoji108]
Jr[emoji769]
Hapana sio wote jamaniHivyo tabia za wanawake kurembua ni dalili za kukumbwa na na hilo shetani.
Najua umesema hivyo hili wamama wasijikisike vibaya lakini ukweli ndo huo. Na ndo maana kuna msemo wa "mashetani yakinipanda ...."
hahahahahMkuu kwa hiyo SAMAEL na yeye baada ya kuzama chumvini alibakia kuwa malaika mkuu?,
Hayo mambo mengine itabidi leo nikirudi home nimchunguze wife kama ni sukubasi
Hizi replies zenu ukiziunganisha kama jinsi zilivyofuatana unapata sentence moja kamili
Jr[emoji769]
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji87][emoji87][emoji87]Mrembo niliyenaye kwa sasa nahisi ni mmoja wao, ni mrembo kwa vigezo vyote vya urembo. Mazingira ya kukutana naye na kuanzisha mahusiano ni utata mtupu, kifupi alinishobokea mara tu tulipo onana. Vidume wengi waliishia kuliwa vimafao vyao na kutoswa. Hapo kwenye deki ndo starehe yake kuu, tena ni aina ile ya mabinti wenye kusquart kama bomba, ikipigwa deki lazima nilowe uso wote