Huo ugiligili mi nautamani sana mkuu Mshanajr fanya conection nitabaaruq
Sent using Jamii Forums mobile app























Hahhahahahhahhahha ankal Mshana kaleta balaa na huu Uzi!!Kwakweli madre sina kabisa nasubiria siku ukinitunuku mwanao..
😉😉
Ma' hujaniambia bride price ni sh ngap nianze kula mia naweka miaHahhahahahhahhahha ankal Mshana kaleta balaa na huu Uzi!!
Precious treasures gat no price tags Son!Ma' hujaniambia bride price ni sh ngap nianze kula mia naweka mia
Ooooh mom..Precious treasures gat no price tags Son!
you made my day mpaka uchovu wote umeisha loh.....!
Jr![]()
Mhh !!Mshana Jr naomba contacts za huyo subashi patel nimtoe ugiligili na mkia wakee mferejini