Unamfahamu mnyama Squirrel

Unamfahamu mnyama Squirrel

Hao sio nguchiro. Nguchiro hana mkia mnene. Kuna tofauti kati ya squiral na mongoose.
Huyu ndio nguchiro(mongoose).
download.jpeg
 
Nafikiri mkuu umewafananisha na Meerkat maana hawa ndio wapo wengi sana kwetu
Ila hawa squirrels wanaishi kwenye nchi za baridi zaidi View attachment 1262214
Sio kweli mkuu kilimanjaro hawa viumbe wamejaa na wanajulukana kwa jina la "kichakoro" ni waoga na mara wahisipo hatari hunyanyua mkia kwa mshutuko ili kutoa taarifa kwa menzie alie karibu, mara nyingi walapo hua wanasimamia miguu ya nyuma na kushika anachotaka kula kwa miguu ya mbile bila shaka atakua na vidole vya kushika.
 
Kilimanjaro ni baridi na inampa sifa ya kuishi hapo
Probably
 
Back
Top Bottom