Unamfahamu mnyama Squirrel

Unamfahamu mnyama Squirrel

Kikwetu(kisukuma)huwa tunawaita CHONZA

Wanapenda sana kukamata vifaranga vya kuku na bata wanakula
 
Je ndio hawa hapa?
20190914_083626.jpeg
 
Hao siyo squirrel hao ni vicheche au pimbi. Squirrel siyo common sana huku tropicals countries.
 
Labuda kwenu huko kwetu wanakula mbegu mbegu na matunda matunda nabndizi mbivu mashambani huko
Kikwetu(kisukuma)huwa tunawaita CHONZA

Wanapenda sana kukamata vifaranga vya kuku na bata wanakula
 
Back
Top Bottom