N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 8,178
- 12,433
Ndala muyawe nachene kimela nzoka icho
Kimela nzoka
Kimela nzoka
Kilugha sisi tunawaita "vilochindi"
Ndio ndio..hahaha hata sie kikiwa kimoja kinaitwa kilochindi
Au kirukanjiaKwa KLM tunawaita kilochindi au kichakoroo, hata kwenye mapango ya miti vinaishi vipo vya kutosha tu.
KindiKwa kiswahili wanaitwaje ?
Watu hamkosi maneno!! hv unafanyaje mpaka ukae nyuma ya mkyundu wa huyo mnyama akujambieAkikujambia huyo squirrel utachoka