ni vyema akafa mapema ili asitumalizie kodi zetu
PropagandaSisi sote njia hiyo tutapita. Lakini usimuombee mwenzio kifo hebu pamoja na ku-post thread yako hii jaribu kujiuliza unapomnyooshea mwenzio kidole ujue vidole vinne vilivyobaki vinakuonyesha wewe kwa hiyo na wewe jiandae kwa hilo!!!
Shuzi limepata mjmbj.ila mods hamkupaswa kuiachia hii thread ikapata airtime ya kutosha hivi. onyesheni umakini wenu katika vitu km hivi pia.......by the way inawezekana manumba akawa mwema kuliko mtoa uzi hii dunia bwana.
Probably this is the stupidiest comment, of all the time,
pole msemaji wa familia
Acha kabisa kama wana jeshi wana lambimbishwa mchanga atakuwa yeye au huja sikia yule wa mbeya majuzi tu wakikushindwa kwasumu wana ku-Gen Kombe...Kama kaingia kumi na nane za watu acha ale jeuri yake....ila nasikiaga eti askari huwa ni "wazito sana"
wewe uliyeandika ndiyo utamfahamu DCI Manumba atakapopona, subiri tu. siyo vizuri kabisa kumuombea mwenzio kifo.
Manumba ni Kachero msomi haswa! Amesoma course kibao abroad za ukachero!!!
Mfikilwa akipona sawa ila why hawajampeleka mhimbili?