Umkondo wa Swize
JF-Expert Member
- Dec 29, 2012
- 282
- 90
Huyu jamaa ni mtenda kazi shupavu kabisa
kwa taarifa tulizo ni kwamba amejiingiza kwenye 18 za watu,,kwi kwi kwi,,,,,,,,,,,,,,,,,,
hapa tunasubiri dakika tu,,ndio tujue Mwenyenzi Mungu Muumba wa Mbingu na Dunia siyo ASUMANI!!!!!!!!!!!!!!!!
Duh! Kwakweli taifa lilipo fikia ni pabaya sana, yani mpaka tuna ombeana kufa? Duh! Hiikali, hebu pata pc angekua ni babaako hata kama angekua muuaji kiasi gani usinge furahi na post hii. Tuache maskhara kwenye mambo ya kweli
kwanini haiwezekani? Kwahiyo kama si malaria, ninyi mnafikiri anaumwa nini? Au mmeshashawishika na hoja za mleta thread ambaye anaonekana dhahiri kwamba ameandika kwa ushabiki? Kama sikosei Zitto aliwahi kukutwa na malaria 200 wakati fulani. Not sure, but haya mambo yapo, kama ingemkuta mtu wa kawaida huko kijijni, angeshajifia siku nyingi. Lakini kwa kuwa ni Manumba, angalau anapata huduma za uhakika.Nimeshtuka sana niliposkia eti ana malaria jumla ya vijududu 500 yaani ana malaria 500!!!!!!!!!!!!!!!!! Sijawahi kuskia kitu kama hii bhana
Mungu ni mwema na atapona haraka sana ili aendelee na kazi. hamna cha uchawi ila ni malaria tu. kwani nani hajawahi ugua?
Mfikilwa akipona sawa ila why hawajampeleka mhimbili?
DCI MANUMBA pale Mwanza kwenye msiba wa RPC BARLOW, aliapa.."Jeshi la Polisi litalipa Kisasi kwa wauaji wote pasipo kuacha hata mmoja"....na MUNGU si Kinjekitile, leo yeye ndo yuko DHOFLI hali...anyway, MUNGU amnusuru aungane tena na MKEWE na WATOTO wake...
Huu nao utata mtupu, kawaida malaika hawa hukimbizwa India, au aliasi
Ingawa unapaswa kumwombea adui yako aishi siku nyingi ili aone unavyofanukiwa, lakini hawa viongozi wa PT nisingependa waone ninavyofanikiwa.
navyosoma hizi comment naona kiasi gani wananchi walivyochoshwa na utendaji mbovu wa polisi siku hizi haki inanunuliwa,kama huna hela nchi hii huna chako, jeshi la polisi halina discipline kabisa kama umesikiliza CLOUDS radio leo asubuhi utagundua kama polisi bongo ni majambazi kabisa, na huyu manumba na mkewe si waliwachangisha vijana wa watu kwa kuwadanganya kuwaingiza usalama , eti na yeye akadai katapeliwa mmmhhhhMungu ni mwema na atapona haraka sana ili aendelee na kazi. hamna cha uchawi ila ni malaria tu. kwani nani hajawahi ugua?
Kwa vitendo viovu vya polisi kama uuaji, utekaji, na ukandamizaji wa haki za raia, mimi sina hamu nao hata kidogo. Polisi wa Tanzania wapo kwa maslahi ya watawala tu, siyo raia.