Powell Gonzalez
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 1,662
- 3,017
- Thread starter
- #21
Alafu anakifata kifoAlikuwa anakwepa tozo na makato.
Alafu anakifata kifoAlikuwa anakwepa tozo na makato.
Wapi huko wameua na kuacha hela kwenye ndio,kabatu la nguo!Jamaa karudi na milioni 80 nyumbani, kiunoni ana bastola lakini kakuta majambazi wameshafika kwake tena wapo chumbani na mkewe wameshamfunga kamba na plasta mdomoni. Jamaa kaingia na begi lake kapigwa kisu cha Moyo kafa Jamaa wakachukua pesa wakasepa.
Polisi kufika na taratibu zao, walipoanza kusearch wanakuta pesa zingine zipo kwenye ndoo ya maji zimejaa, zingine zipo juu ya dari zingine kwenye begi, eti hadi kwenye kabati la nguo. Ina maana huyu Jamaa anabifu na bank au haziamini?
Kiukweli mimi hata laki mbili sikai nayo cash achilia mbali millions.
TUBADILIKE!
Movie gani hii mkuu?Jamaa karudi na milioni 80 nyumbani, kiunoni ana bastola lakini kakuta majambazi wameshafika kwake tena wapo chumbani na mkewe wameshamfunga kamba na plasta mdomoni. Jamaa kaingia na begi lake kapigwa kisu cha Moyo kafa Jamaa wakachukua pesa wakasepa.
Polisi kufika na taratibu zao, walipoanza kusearch wanakuta pesa zingine zipo kwenye ndoo ya maji zimejaa, zingine zipo juu ya dari zingine kwenye begi, eti hadi kwenye kabati la nguo. Ina maana huyu Jamaa anabifu na bank au haziamini?
Kiukweli mimi hata laki mbili sikai nayo cash achilia mbali millions.
TUBADILIKE!
Limetokea lini?Dar es Salaam, ubungo.
Hahaha 😂Wataalam wa fedha mitandaoni wanakwambia benki zinakuibia hela yako saving ni ujinga, yeye aliwasikiliza .
Exactly, labda aliamini bastola
Mmh
LiniDar es Salaam, ubungo.
Kama hatuna tugawiweKwanza kukaa na pesa zote hizo nyumbani kwa tz ni kosa kisheria