Unalalaje na zaidi ya milioni 100 ndani?

Hapo mke wake kauza ramani hamna namna.
 
Jamaa karudi na milioni 80 nyumbani, kiunoni ana bastola lakini kakuta majambazi wameshafika kwake tena wapo chumbani na mkewe wameshamfunga kamba na plasta mdomoni. Jamaa kaingia na begi lake kapigwa kisu cha Moyo kafa Jamaa wakachukua pesa wakasepa.
Polisi kufika na taratibu zao, walipoanza kusearch wanakuta pesa zingine zipo kwenye ndoo ya maji zimejaa, zingine zipo juu ya dari zingine kwenye begi, eti hadi kwenye kabati la nguo. Ina maana huyu Jamaa anabifu na bank au haziamini?
Kiukweli mimi hata laki mbili sikai nayo cash achilia mbali millions.
TUBADILIKE!
Kuna tabia za kuzoea hela, hasa ukiwa unazishika mara kwa mara. Sema jamaa ni fala. Kuna kupata ajali, watu wakafaidika na mpunga wako.
 
Hata watoto wanaongea sana mambo yalivyo nyumbani.
Akikutana na mtu anayejua kudadisi vizuri unajikuta upo uchi .
 
Enzi hizo dada mmoja alishitakiwa kwao na mumewe kwa kuifadhi pesa ndani kiasi cha ml 100 ambapo ilibidi wazazi wamshauri awekeze kujenga nyumba haraka sana miaka ya 2014 kwani zilikuwa pesa za dili na nyumba zilikamilika ndani ya miezi sita na kuondoa wasiwasi huo ndani ya ndoa
 
Ni vema marehemu tumuombee dua njema ili afike mbinguni na mzimu wake usirudirudi nyumbani kuulizia mapesa.Hatari sana hiyo.
 
Jamaa karudi na milioni 80 nyumbani, kiunoni ana bastola lakini kakuta majambazi wameshafika kwake tena wapo chumbani na mkewe wameshamfunga kamba na plasta mdomoni. Jamaa kaingia na begi lake kapigwa kisu cha Moyo kafa Jamaa wakachukua pesa wakasepa.
Polisi kufika na taratibu zao, walipoanza kusearch wanakuta pesa zingine zipo kwenye ndoo ya maji zimejaa, zingine zipo juu ya dari zingine kwenye begi, eti hadi kwenye kabati la nguo. Ina maana huyu Jamaa anabifu na bank au haziamini?
Kiukweli mimi hata laki mbili sikai nayo cash achilia mbali millions.
TUBADILIKE!
Nchi gani tukio limetokea?
 
Back
Top Bottom