Unalala juu ya kifua cha mwanamke zaidi ya nusu saa unatafuta nini?

Asante,kusema la ukweli mimi nimekuelewa sana.

Ila umenifurahisha uliposema eti unapiga moja na unatoa tabasamu la ushindi na unampa buku akakojolee mbele
 
Hapo mwanzo umenikumbusha jinsi mke wangu alivyokuwa akiniambia kuwa wanaume wenzio wanaokuwa na wanawake wa nje tayar wameshajenga na wako na maisha poa,jijenge kwanza baba
 
Na kuunga mkono katika hilo,hamna mwanaumme yoyote mwenye maono na focused kwa future na maendeleo anae weza kuenda zaidi ya round 3, na mwana umme kwa kutumia zaidi na lisaa na kubadili ditaili mbalimbali.

Ukiona mwana umme iko hivo na ni tajiri jua mali alio nao ni ya urithi au wizi au kapewa kirahisi hakuitafita mwenyewe kupenda ngono hakushabikiane na akili za kupata kabisa ni sie masikini tunao waza ngono na kupoteza mda kuwaza wanawake, eti tunatafuta nguvu za kiume kuwaridhisha wake zetu, loh umasikini ni mzigo.
Kwani Kuna uhusiano Kati ya upungufu wa nguvu za kiume na utajiri?
 
"""Hapo mwanzo umenikumbusha jinsi mke wangu alivyokuwa akiniambia kuwa wanaume wenzio wanaokuwa na wanawake wa nje tayar wameshajenga na wako na maisha poa,jijenge kwanza baba""" 📌🔨🔨🔨🔨🔨🔨
 
Show za kama kuku hapana....bora niahirishe hadi siku yenye muda wa kutosha.
 
Wee bwana wee hayo ma'Future yenu mnayohubiri kila siku kuyananga mapenzi achen, hizo mbanga hatutaki.

Wengine furaha zetu na ndoto zetu ni kupeleka moto FULL STOP, tena moto kweli kweli, sio masaa tuu mpka siku nzima na week inakata ni mwendo wa kubandika na kubandua, akiinama imoo akiinuka imoo, iwe kwenye veranda ama jikoni, ni mwendo wa anachukua anaweka WAAAAH!.

Hizo pesa mnazotafuta kila siku faida yake ni nini kama hampeleki moto vilivyo? Pesa na kazi vyafaa nini pasipo kupeleka moto ipasavyo?

Nyie jifanyeni mko bize na kazi+kutafta pesa msahau kuwalidhisha wake zenu, alafu sisi wanamtaa tutawasaidia kupeleka moto na kuwazalisha wake zenu kwa niaba yenu wapumbavu.

Kupeleka moto hakutaki visingizio kama hauna nguvu za kiume sema watu wawaibukie PM kuwauzia Vumbi la mkongo na mujaarabu wa busta+alkasusu.

Acheni sababu bana, pelekeni moto
 
Ushauri wangu ni:
Ghafra bin Vuu itumie
Maana hata upige mpaka zitoke Cheche Bado atato........ nje.

Hivyo usishindane na ulipotoka
Piga kimoja kifadha mwaga ndulele nenda.
 
Back
Top Bottom