Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 5,845
- 10,070
- Thread starter
- #81
Kwa sababu kuna mwanaume mwenzangu hapa jirani alikuwa anakimbizana nyuma nyuma kama mkia kumfuata binti ambaye hana muda naye, kitendo kimenishikisha hasira sana. Anaudharirisha uanaumeUmeongea kwa hasira sana mkuu