Unalala juu ya kifua cha mwanamke zaidi ya nusu saa unatafuta nini?

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Kwani huna majukumu mengine ya kufanya mbali na mapenzi? Jiulize kwanza, una nyumba ngapi mpaka sasa? Unatembelea miguu minne ama miwili? Wanao je, wanapata elimu mahali pazuri? Je wanalala pazuri? Vipi kuhusu wazazi wako, wanakula vizuri? Kama haya yote ni majukumu yanayokutegemea, unapata wapi muda wa kujitosa kifuani mwa mwanamke kwa muda wote huo?

Mbaya zaidi, hadi wanandoa nao siku hizi wanatafuta madawa ya kuongeza nguvu za kiume, nikuulize sasa! Kwamba ukiwa na nguvu nyingi zinazojaza pipa ndipo mkeo hatoweza kuchakatwa huko nje? Hivi unawafahamu wanawake vizuri kweli!? Tuache ujinga, mambo ya nguvu za kiume tuwaachie vijana below 18 yrs. Wengine tutafute pesa

Huyu huyu mwanamke unayemhangaikia kumridhisha, kupoteza pesa zako kutafuta madawa feki ya kukuza na kongeza, kujipa stress na hofu, hata siku moja hatokuchangia hata 20k kwa ajili ya ada ya mdogo wako

Kwani alikwambia kuwa kabla ya kufanya naye mapenzi umnyonye kwa muda wa nusu saa? Alikwambia umpapase papase? Alikwambia umpitishie ulimi mgongoni? Wacha kumchafua mtoto wa watu, hayo yote atayafanya yeye kama yeye akiwa kwao au kwake au kwa mume wake. Weka pesa mezani kisha sukuma tako lako moja, kojoa, shuka ukalale

"Mi uume wangu ni mdogo!" > Pumbavu kabisa, alikwambia anahitaji uume mkubwa? "Mimi sina nguvu za kiume, kimoja chali" > Unamridhisha kwani huyo ni ndugu yako? Fanya kutafuta pesa kwanza

Kwani ukiwa na nguvu nyingi za kiume ndo kwamba hutoombwa pesa? Pesa iko pale pale mkuu, kama ni kusuka utatoa, kama ni kioo cha simu kimepasuka utatoa tu, mama anaumwa utatoa. Yanini sasa kujifanyia maboresho yasiyokuwa na tija? Umekuwa chombo cha usafiri?

Inafikia hatua mpaka wanawake wenyewe tunaowanyenyekea wanatuona mazwazwa, majinga na mapumbavu tusiokuwa na akili hata chembe mfano wa nyumbu wa masika. Kwamba kwa sababu kuna kabinti unakapenda ndo unabadili style ya kutembea, pamba za kuvaa, namna ya kuongea n.k oppress kabisa, kwani amekwambia kuwa anahitaji kuabudiwa?

Usiku kucha jianaume linatuma sms zisizojibiwa, linabaki na mawazo, sometimes kububujikwa na mchozi, yaani nyie wa hivi ndio wa kutandikwa bakora. Shwain

Tumefikia hatua ambayo ukiscan ubongo wa mwanaume unakutana na mawazo ya kyuma at 90%, hayo ni matumizi mabaya ya nishati

Usikubali akuchoshe, na wala usimchoshe kamwe, mpe nauli afike gheto, sukuma tako zako mbili, kojoa, mwoneshe tabasamu la ushindi, mpatie elfu tano yake, kama ni kukojoa atanunua huko huko maji ya lita moja na nusu, anywe, akakojolee kwao

Nyongeza: Chaputa iheshimiwe, ni starehe kama zilivyo starehe nyingine. Eti inalegeza misuli, kwani hiyo misuli unamkazia nani na kwa nini? Tuache ushamba, tuache kukomoana, mwanamke kama anakupenda, ukimtia tu dole lazima akojoe, hizo nyingine ni mbwembwe zisizo na mantiki

Eti unakaza masaa matatu, nyie ndo mnaoukwaa ugonjwa tuli wa taifa kimasihara

Nimalizie kwa kusema: Nilitumia zaidi ya 600k kwa matatizo ya nguvu za kiume na kibamia, lakini yote kwa yote, bado vibomu viko palepale, kuachwa naachwa kama kawaida. Hawa viumbe hawatabiriki. Tuache kunyenyekea mapenzi

Nategemea sasa kutokusikia mwanaume unakuja hapa na kuanza kujiliza kisa mapenzi au kuuliza uliza madawa ya nguvu za kiume, ama muda wa tendo

Naomba tubadilike,
Msiseme sikuwaambia...

Fanya kunifollow
sex.jpg
 
Nakubaliana na wewe kabisa ila nasisitiza usiwapangie wengine. Kila mtu ajikite kwenye vipaumbele vyake. Anayeona uchi/takoo ni muhimu kuliko nyumba/gari asipangiwe, hayo ni matumizi ya uhuru wa ubongo wake.
Hapana mkuu, mimi siwezi kukubali kuona mwanaume mwenzangu anapotea. Ni heri kuwapoteza wanawake 10 kuliko kuruhusu mwanaume mmoja kupotea
 
Hongera mkuu, endelea kuwanyenyekea. Ukitaka hata wapigie magoti, bubujikwa na machozi kabisa
Hayo wanafanya watoto. Lakini swala la kukaa kifuani zaidi ya nusu saa au dakika ni mambo binafsi wala haiongezi chochote kwenye uchumi.

By the way tunatafuta pesa ili kufurahisha mioyo yetu na miili yetu. Usipofanya hivyo wapo watakaotumia pesa yako kufurahia maisha wakati wewe ukiwahangaikia muda wote. Kuna siku utalia ukija mkuta mdogo wako unayemlipia ada anatumia pocket money uliyompa kung'olea pisi kali. Tafuta muda wa ku enjoy man
 
Back
Top Bottom