Unakumbuka wapi hapa ulikuwa wapi

Unakumbuka wapi hapa ulikuwa wapi

Aisee nakumbuka enzi hizo siku ya kwanza kuiangalia hiyo movie sikupata usingizi hadi asubuhi full ma luwe luwe. Na sikutaka tena kuicheki, noma sana.

Ngoma inaitwa predator ya Anord Snigga.....huyu mniga anaitwa Bill Duke aka Kipara.....Ujinga wa hii move ukiangalia inavyotengenezwa utaishia kujiona mjinga wa miaka yote.
 
Nakumbuka home kulikuwa na chupa za bia nyingi rafkiangu kwao wanafuga kuku anaiba yai mm naiba chupa home tunaenda kuviuza dukani tunaenda kuangalia movie
Nilikuwa darasa la pili tu wakati huo
 
Kwa Manyanya/Amon (Moni)...njia ya kwenda TAZARA..Mbalizi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom