Unakumbuka wapi hapa ulikuwa wapi

Unakumbuka wapi hapa ulikuwa wapi

Weren't huyo ni mnyamwezi mwenyewee..

Movie ya Comando John sijui title yake ila alikuwa anamfatilia mtoto wake Jane aliyetekwa.
Hiyo picha ni ya movie ya PREDATOR but yes aliwahi tena cheza movie na Anord inaitwa COMMANDO ambayo ndio hiyo unayoongelea wewe muhenga
 
Ukikulia mjini una assume wote wamekulia mjini.

Mkuu wengine hiyo 90s tulikuwa maeneo ambayo hakukuwa hata na Umeme, kwa hiyo kumwona Anorld lazima ulipie.
Hua najiuliza. Wale watoto ninaowaonaga vijijini huko ambako hakuna umeme,nyumba za nyasi hua wanaishia kua na future gani
 
Enzi hizo mkiwa mna tv hom mnakuwa babkubwa kitaa chote..machalii wakija kula kideo unachimba biti kinyama..miaka ya 90's hiyooo!!ukipita mtaani unaskia yule kwao wana TV daahh kichwa inakuwa kubwa kinyama!!hahaha daahhh old is gold
 
Aisee wale madogo wanatokea pagumu sana. Ila unakuta dogo mwingine home freshi tu afu anazingua shule

Na siku hizi nadhani changamoto ni kubwa zaidi, miaka ile kulikuwa hakuna private schools nyingi, kwa hiyo unakuta wote mnakuwa ni government na walimu wanafundisha vizuri tu, this time kutoboa kishule shule kupitia government schools inabidi uwe na jitihada hasa.
 
Nadhani walimu wa Government wamejisahau sana pia serikali haiwa motivate kwa kuwapa pesa nzuri na accomodation. Huko private mwalimu anakufundisha anakubembeleza kabisa so lazima ufaulu tu. Pia wana resources nyingi
 
Ni sahihi unachosema, best teachers wengi wanakimbilia private, tofauti na kipindi hicho ambapo hakukuwa na hizo private.

Na wanalipwa vizuri sana, huku government lazima issue za tuition zihusike sana, vinginevyo unatoka bila kitu.
 
Weren't huyo ni mnyamwezi mwenyewee..

Movie ya Comando John sijui title yake ila alikuwa anamfatilia mtoto wake Jane aliyetekwa.
Hahahaaaa kasie bhana nilikuwa sitak kuchangia kwenye huu Uzi umeelezea vizur kweli kama unajua kumbe hata hujui Masikin Wa mungu
 
Hahahaaaa kasie bhana nilikuwa sitak kuchangia kwenye huu Uzi umeelezea vizur kweli kama unajua kumbe hata hujui Masikin Wa mungu

Namimi nimejikuta nimekomenti tuu bila kujua kama wewe umeelewa au laah....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom