Unakumbuka wapi hapa ulikuwa wapi

Unakumbuka wapi hapa ulikuwa wapi

Mkuu nimekulia uswekeni huko madongo kuinama hata TV tulikuwa hatuzijui labda ubahatike kusafiri utaona kwenye gari. Tena umenikumbusha kitu [emoji23][emoji23][emoji23] siku ya kwanza kuona video niliona kile kichekesho mdada mwenye chura anatembea anatingisha vijana wanahesabu hamsini, hamsini, mia [emoji85][emoji85][emoji85] sijui kama kuna mhenga mwenzangu amewahi kuona hii
Sawa, hata kwa relative? Nilisoma boarding school middle 90's tulikuwa pia tunawekea hizi movie
 
Mkuu nimekulia uswekeni huko madongo kuinama hata TV tulikuwa hatuzijui labda ubahatike kusafiri utaona kwenye gari. Tena umenikumbusha kitu [emoji23][emoji23][emoji23] siku ya kwanza kuona video niliona kile kichekesho mdada mwenye chura anatembea anatingisha vijana wanahesabu hamsini, hamsini, mia [emoji85][emoji85][emoji85] sijui kama kuna mhenga mwenzangu amewahi kuona hii
Msemo nakukumbuka lkn video sina hakika kama nimewahi kuiona
 
TV zilikuwepo lkn ili uone movie lazima uwe na VHS maana broadcast Ilikuwa tvz na sattellite network wkt huo ni anasa yani karibia 2 milioni mwishoni mwa miaka ya themanini.
Usinikumbushe mshkaji wetu kitaa faza wake alitoka front akaja na video basi mamaa kila wakati anatembea na kanda ya vhs ili mjue home kuna kideo it was 1989
 
Mkuu nimekulia uswekeni huko madongo kuinama hata TV tulikuwa hatuzijui labda ubahatike kusafiri utaona kwenye gari. Tena umenikumbusha kitu [emoji23][emoji23][emoji23] siku ya kwanza kuona video niliona kile kichekesho mdada mwenye chura anatembea anatingisha vijana wanahesabu hamsini, hamsini, mia [emoji85][emoji85][emoji85] sijui kama kuna mhenga mwenzangu amewahi kuona hii
Nakikumbuka hicho, bahati mbaya wahusika wa hicho kichekesho wengi ni marehemu, kama sikosei ni mzee majuto, mwanachia, na mzee small ila yule dada kwenye chura sikuwahi kumjua
 
I checked this scene when i was 5yrz old and got traumatized to this day!

Poor car salesman was trying to sell to Bill Duke and got killed!

Bill Duke is forever a legend...Such a powerful scene:



nguvu huyo mnyamwezi ndo nilimaanisha nilimuona kwenye hii video ya commando.
 
Nakikumbuka hicho, bahati mbaya wahusika wa hicho kichekesho wengi ni marehemu, kama sikosei ni mzee majuto, mwanachia, na mzee small ila yule dada kwenye chura sikuwahi kumjua
[emoji23][emoji23][emoji23] mimi siwakumbuki hata sura zao maana niliona nikiwa mdogo sana
 
nguvu huyo mnyamwezi ndo nilimaanisha nilimuona kwenye hii video ya commando.

Kasie ni kweli ilikua ni movie ya Commando 1985!

Aisee hii scene watu waliikoma hasa!

Imagine mtoto wa 5yrs niliiona mpaka leo I feel cold!

Sisi Moshi tulikua tunamuitaga Bill Duke kwa jina la Masaweee!
 
Mkuu nimekulia uswekeni huko madongo kuinama hata TV tulikuwa hatuzijui labda ubahatike kusafiri utaona kwenye gari. Tena umenikumbusha kitu [emoji23][emoji23][emoji23] siku ya kwanza kuona video niliona kile kichekesho mdada mwenye chura anatembea anatingisha vijana wanahesabu hamsini, hamsini, mia [emoji85][emoji85][emoji85] sijui kama kuna mhenga mwenzangu amewahi kuona hii
Duh nakumbuka enzi hizo nilikua naishi Engosheraton nilikua bado kidi sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom