Unakumbuka nini miaka ya 90's kushuka chini?

Benaco

Member
Joined
May 17, 2017
Posts
57
Reaction score
128
Itifaki izibgatiwe,

Kuna mambo nmeyakumbuka wkt wa miaka 90's kuja 80's, kwanza kulala ilikuwa saa12 ukionekana nje umeumia. Sukari haikuuzwa dukani tulikuwa tunapanga foleni kununua sehemu fulani zinaitwa ugawaji. Tv mnatizama jumapili tu na ukiwa na TV lazima iwe na kibali.

Wewe unakumbuka nini?
 
Mm nakumbuka enzi izo bado cjazaliwa ndo kumbukumbu yangu iyo .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…