Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 15,554
- 19,420
Duh, Kumbe Style hii ya U-Dr. Imeanza sikunyingi maana hii ni Nov. 2, 1978, Nasubiri siku MKWEREE aseme na Nyerere alipewa akawa Dr. Nyerere kama Dr. Mkapa, Dr. Karume, Dr. Salmin Amour, Dr. Mwinyi????, Dr Riz 1, .....
View attachment 41691
Hapana, Nyerere alikuwa haitwi "Dr. Nyerere," alikuwa anaitwa "Mwalimu Nyerere" au "Ndugu Nyerere". Ila waandishi wa nje pamoja na wasomi wa nje ndio walikuwa wanampa hiyo taito ya "Dr". kwa vile walikuwa wanapata ugumu wa kumwita Mr Nyerere, na walikuwa vile vile hawawezi kumwita "Mwalimu Nyerere" and "Ngugu Nyerere."