Unakumbuka breakup yako ya kwanza?

Unakumbuka breakup yako ya kwanza?

Yule ms*nge aliniacha jumapili ambayo jumatatu yake tulikuwa na test...sababu yake mammmae zake nikachafua CV ya kuzungusha ile paper (nilipata zero)

Nilikuwa siwezi kula
Siwezi kulia japo natamani kulia lakini machozi hayaji
Nilikuwa mchekaji mzuri lakini siku hizi sicheki kabisaaaa

Popote ulipo ama kama unasoma hapa ujue tu nakuchukia kuliko kawaida!!!na kwa taarifa yako ninae baby mpya nampenda sanaaaaaa

#povu

Halafu bado nakupenda
Hahaha dah hiyo line ya mwisho tuu.....
 
Sitokuja kusahau nlkuwa na mpenzi A level...
Alikuwa sio mschana wa kwanza ila kwangu ndio kipenzi changu cha kwanza na sina uhakika kama atakuja kutokea maishani.

Alikuwa na mpenz wake but yuko school tofauti na sisi alikuwa anampenda sana, alikuwa anampenda sana hivyo alikuwa hawezi kuwa na mimi then nilimwambia nitamsubiria na yeye alisema nisiache kuwa karibu nae kwakuwa amenikataa tuwe More than Best friends.

Siku zilivyokwenda alikuwa kwa kuwa nilikuwa karibu yake zaidi japo nlkiwa napata wakati mgumu kuwa karbu na mtu ninae mpenda et sisi ni marafiki.

Baada ya kuona nateseka sana kufikia kipind naumwa kisa yeye aliamua kunikubalia lakini pasipi kumuacha mpenzi wake.

Kwakuwa nilikuwa nampenda nilikubali mala nyingi alikuwa anataka tuachane coz alikuwa anaona upendo unakuwa na akahisi atamsahau mpenz wake.

Baada ya kumaliza Advnc levl... tulienda chuo mkoa mmoja but b4 ku attend chuon tulifikia mtaa mmoja, then tulipanga kuonana hotel..

Ile siku nilifurah sana japo lengo la kukutana hotel ilkuwa ni kuongea kuhusu mahusiano na alkuwa ana suggest tuachane coz anaona kama hamfanyii sawa mpenz wake huku akisema kama nikimvumilia na ikitokea siku wameachana na mpenz wake bas nitakuwa nae na mala nyingi alisisitiza ananipenda sana.

Basi ile siku ya kukutana ikafika, but mm nilijua kwakuwa tunakutana hotel bas tutafanya but yeye hakuwa ana maanisha hivyo
*note* ALIKUWA BIKRA.

Baada yakuonge kidogo nilianza kutaka sex nilitumia siku nzima kumlazimisha hakutaka kabisa na alilia sana toka asubuh mpk saa 12 jion hakutaka kufanya vile kwa muda ule, naweza sema nilifanya raping coz hakutaka iwe hvyo but kwa mimi nilihisi kwasababu hajawah fanya dats why anasumbua lakini kwa sababu wakati tupo mbali tulikuwa tukifanya fake sex kwa ku chart dirty convo na kutumiana nude pics nilkuwa na hamu nae sana.

Baada ya kufanya aliondoka analia na mm nililia sana zaidi ya sana kwasababu nilijua nimempoteza mwanamke wa ndoto zangu kwa tamaa zangu

Sifa zake
*mpole
*mkimya
*ana upendo
*mzuri sana zaid ya sana.
*mwenye hasira na mafanikio

Sitokuja kusahau na mpk sasa bado yupo akilin mwangu, Labda nisingemlazimixha still tungekuwa pa1.
Ila tamaa ziliniponza.

*wakati anaondoka alisimama kwenye mlango wa hotelin aliniambia kwa lugha ya kizungu ambayo kwa kiswahili ili maanisha

"KATIKA MAISHA USIFIKIRIE UPANDE WAKO TU FIKIRI KUHUSU UPANDE MWINGINE PIA"

nampenda sana, nilijipa likizo ndefu sana kuwa na mtu takriban miaka miwili huku nikimbembeleza kila siku turudiane lakini hakukubali.

Maisha yanaendelea lakn siwezi msahau maishani mwangu and i do feel guilty kwa niliofanya. I wish anisamehe coz ni mm niliemkosea na nmejifunza.
Hata kama hatutakuwa pa1 sawa coz atleast nmezoea but muhimu msamaha

Moral. Tamaa mbaya pia tusiweke sex mbele
Lakini si ulimlaa mzee...at least kidogo
 
Yule ms*nge aliniacha jumapili ambayo jumatatu yake tulikuwa na test...sababu yake mammmae zake nikachafua CV ya kuzungusha ile paper (nilipata zero)

Nilikuwa siwezi kula
Siwezi kulia japo natamani kulia lakini machozi hayaji
Nilikuwa mchekaji mzuri lakini siku hizi sicheki kabisaaaa

Popote ulipo ama kama unasoma hapa ujue tu nakuchukia kuliko kawaida!!!na kwa taarifa yako ninae baby mpya nampenda sanaaaaaa

#povu

Halafu bado nakupenda
 
Nilimpenda kweli, ni story ndefu, alikuwa mmanga hawa wa ki-Oman, ndugu zake hawakunitaka na waliloamini ni kwamba ningemuharibia masomo yake na hatimae maisha yake.

Katika harakati za hapa na pale ikatokea safari ya kimasomo kwenda nchi flani hivi, nlifanya yote yaliyowezekana akawemo safarini maana mimi nlikuwa na nafasi tayar, alinishkuru sana for that lakini alikuwa kuungana na kukubaliana na matakwa ya ndugu zake kwamba aachane nami. Kipindi cha rehearsal kilikuwa ndio kipindi cha kutuweka karibu but she always avoided me. I was never happy at school na kila safari ilivyokaribia ndivyo hakunielewa ba kujaribu kuji-distance from me.

Siku ya safari ikafika, ndege yetu saa nne asubuhi mpaka saa mbili hajafika. I started worrying na nkataka kugoma pia, kama haendi nami sitokwenda, fikra zangu ziliniambia ndugu zake wamemzuia. Around saa mbili na nusu alitokea, nlikumbatiana na kaka yake aliemsindikiza na akaninong'oneza kuwa he believes I will protect his sister. I gave him my words that she was in a safe hands.

Mmanga yule hakutaka kuongea nami mpaka tulipofika Amsterdam alipopata matatizo na suitcase yake. She was crying and calling me "my love". I had some courage and strength to do whatever I had to ili vitu vyake vyote tupate kusafiri navyo.

In Norway, she gifted me her ............

We enjoyed our time, and she promised me that she will be mine no matter what.

As we reached Tanzania, out of the flight, she pulled me, hugged me, kissed me and said it was over between us. And it was over.
mimi niliacha ila iliniuma kuliko maelezo maana alikuwa ndo wa kwanza amabaye tu meshare moment nyingi za kiutu uzima kutofautisha na zille relationship za secondary so kwangu mimi ndo alikua wa kwanza baada, Miezi kadhaa akawa anakata mawasiliano hata week nikimtafuta anasema anamajukumu na yuko busy...kuna siku alipotea hewani week mbili anakuja kunitafuta anasema ''hajisikii kuongea na mimi'' aisee niliumia siki kwa mtu baadae anakija analia na anaomba msamaha na mimi kwa vile nilikua kwenye cycle yake na alikua ameshaniju kuwa nampenda kuliko maelezo akiniomba msamaha natulia na anajiapiza kubadilika muda unaenda kwa shida shida hivo.Sasa siku akaja akaacha kupatikana siku tatu namtumia text hajibu, whatsapp namuona online ila hajibu duuh nikatulia nikamsubiri aje na kweli kama kawaida yake akaja na kuleta vijimaneno vyake ikabidi ni kaze moyo nikamwmbia siwezi kuendelea naye nanikamwambia akanitafuta na mshtaki police...duuh niliacha ila iliniuma sana but ilibidi nifanye hivo ili niishi kwa amani. Alinishafanya niwe na atitude ya kuchukia mahusiano na kuchukia wanawake na haisra sana lakini. ila hiyo ilikuwa kama chanjo baada ya hapo duu nimekuwa nunda na thanks to her she immunized me against her own kinds in love
 
Yule ms*nge aliniacha jumapili ambayo jumatatu yake tulikuwa na test...sababu yake mammmae zake nikachafua CV ya kuzungusha ile paper (nilipata zero)

Nilikuwa siwezi kula
Siwezi kulia japo natamani kulia lakini machozi hayaji
Nilikuwa mchekaji mzuri lakini siku hizi sicheki kabisaaaa

Popote ulipo ama kama unasoma hapa ujue tu nakuchukia kuliko kawaida!!!na kwa taarifa yako ninae baby mpya nampenda sanaaaaaa

#povu

Halafu bado nakupenda
Maisha ya ajabu sana kila mtu hupenda asipopendwa.
 
There was a time, I met a girl of a different kind.
We ruled the world, I thought I'll never lose her out of sight.
We were so young, I think of her now and then
I still hear the songs reminding me of a friend

Up on the hill across the blue lake,
That's where I had my first heartbreak
I still remember how it all changed
My father said,
"Don't you worry, don't you worry, child
See heaven's got a plan for you
Don't you worry, don't you worry now"
Yeah!
Ume tisha mzee


 
Aisee.Polen wakuu.Binafsi at 30's sasa bado sijakutana na hii misala.Ukiachana na zile fujo za kwenye mahusiano kabla sijamuoa.Ila kisaikolojia nimeshajipangaga kitambo in case of anything anytime
 
Back
Top Bottom