Bila shaka ilikua ni SuaNakumbuka 2004 nilimpenda binti mmoja chuo kimojawapo hapo Moro.Nilioza kabisa nikawa sisikii.....baada ya miezi 4 hivi akaniambia ana mtu mwingine ambaye ni mbotswana ndio anataka amuoe.Iliniuma sana na ilichukua muda kurudi katika hali ya kawaida.



Nilipogundua anataka kuniacha nikamuwahi akajifanya bado ananipenda kumbe ananilia timing anifanyie suprise ya kuniacha, siku anataka kukamilisha mpango wake nilimtandika makofi hatosahau maishani
Yaani nikipiga upande huu narudia upande wa pili ndo nahesabu kofi moja.




Unamchukia sana na kumpenda muda huo huo ?Yule ms*nge aliniacha jumapili ambayo jumatatu yake tulikuwa na test...sababu yake mammmae zake nikachafua CV ya kuzungusha ile paper (nilipata zero)
Nilikuwa siwezi kula
Siwezi kulia japo natamani kulia lakini machozi hayaji
Nilikuwa mchekaji mzuri lakini siku hizi sicheki kabisaaaa
Popote ulipo ama kama unasoma hapa ujue tu nakuchukia kuliko kawaida!!!na kwa taarifa yako ninae baby mpya nampenda sanaaaaaa
#povu
Halafu bado nakupenda
Pita iviWe nae uliendekeza mapenzi ya kishamba/ ya kizungu wakati wewe ni mbongo tu! Kwanini usingepiga chini tokea tu ulipojua kuwa ndugu zake hawakupendi!
Kwa nini hujafikiria kuwa hakuna aliyewahi kunipenda?Naelewa, mtoto mzuri kama wewe hakuna mwenye ubavu wa kukuacha.
Hivi huu uhakika huwa mnautoa wapi? Eti hakuna, yaani binadamu wote chini ya hili jua wameumizwa na mapenzi?Hakuna Ambae Hajawah Umia Juu Ya Mapenz Bt Maumiv Yale Ni Darasa Tosha Sana
Nilipogundua anataka kuniacha nikamuwahi akajifanya bado ananipenda kumbe ananilia timing anifanyie suprise ya kuniacha, siku anataka kukamilisha mpango wake nilimtandika makofi hatosahau maishani
Yaani nikipiga upande huu narudia upande wa pili ndo nahesabu kofi moja.
Bado break ups zangu zinanitesa mpaka leo.
Sio ya kwanza wala ya mwisho
Kwa nini hujafikiria kuwa hakuna aliyewahi kunipenda?
Huyo mzee alikuwa Mpumbavu aliezeeka...Nimeacha mara nyingi sana na kwa sababu mbalimbali mpaka nishasahau ,nimeumia mara nyingi sana mpaka ikafika mahali moyo umekufa ganzi ,
Nilishawahi taka kumuowa bint fulani ,baada ya mzee wake kujua ni mimi akasema huyu hana kipato cha kumuowa mwanangu atampa shida tu aiseee,na shit mbali mbali mzee alizitoa ,mpaka bi mkubwa akataka aende kuongea na yule mzee ,nikamwambia ndoa hailazimishwi na mke mungu alonipangia hatotomia nguvu ,basi bi mkubwa akanisikia ,na yule mzee alisema hataki mwanae aolewe anataka amsomeshe baada ya miezi 6 yule mzee alifariki na ndoto ya kumsomesha mwanae ilifia hapo ,na yule bint kwa ugumu wa maisha akaolewa na mtu ambaye yaan alikuwa na maisha magumu hatari ,alafu mimi mungu akaja kuninyooshea mambo aiseee acheni haya maisha yana mengi sana




Japo alishafariki Mungua anisameheSawaI always consider the positive side.
Mi najuaga we mhenga mwenzetu, bado unatazamia breakup?What doesn't kill you! Makes you stronger! Nikipata hiyo break up ntakuja!