Unakula Usiku wa Xmas ukiwa bar, pub au kiwanja gani?

nashukuru sijapotea nyumba nimetoka moyo nikaenda tips nikatoka tips nataka kuingia wavuvi entrance 50k
nikaenda gentlemen nikamalizia small kuondoa pombe sasa niko nyumbani salama kabisa
 
Jana mchana nilikua hunt club, jioni nikasogea La charlz, na usiku nkamalizia chantaburiiii.

Songea Town!!!!!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…