Unakubalije kuwa mwalimu?

Unakubalije kuwa mwalimu?

Vijijini kuna walimu matajiri wana maduka mashine za kusaga,mashamba wengine huwa wanunuzi wa mazao kwa wakulima vijijini na kuyauza kwenye masoko yenye bei nzuri
Kuna walimu kumtoa kijijini umpe uhamisho anaacha kazi
Acha uongo wewe, hakuna mfanyabiashara makini ataacha kusimamia biashara zake akacheze na watoto.Labda useme walikua walimu wakaacha hiyo kazi ya kijinga wakaingia kwenye business. Kenge wewe 🤣🤣🤣
 
We kima si ukae kima km huna cha kuandika? Marais wa nchi wake zao walimu. Baba wa Taifa, Kikwete, Magufuli wake zao walimu, sijataja mawaziri wakuu na viongozi wengi wa kada za juu
Wote walimu ndio kwani kuna shida gani ila sa100 sio mwalimu yeye ni mpishi anaedili na mitungi ya gesi na pia alipenda sana kua air hostess, una swali lingine?
 
kada za ualimu na udaktari ni muhimu sana waongezewe posho na mshahara
Naunga mkono umenena kweli mana

mdogo wangu aliacha ualimu akaenda kusomea udakitari,baada ya kuhitimu na kupata ajira ya udokita akakuta yote ni yale yale ,

njaa kali,tena bora hata mwalimu ana muda mwingi wa kufanya mambo yake kuliko dakitari ,dakitari jina kubwa njaa kali.
 
Acha uongo wewe, hakuna mfanyabiashara makini ataacha kusimamia biashara zake akacheze na watoto.Labda useme walikua walimu wakaacha hiyo kazi ya kijinga wakaingia kwenye business. Kenge wewe 🤣🤣🤣
Bwana wewe huyo mtu anakwambia ukweli ila sasa kinachotokea kwa mwalimu km huyo anakua ame-take over yaan anamiliki eneo analolifanyia kazi yeye yeye ndio mwenye kibanda cha kuonyesha mpira, yeye yeye ndie mwenye duka, yeye yeye ndie mwenye kusupply umeme wa jenereta kwa malipo kidogo mchawi mafuta tu, yeye ndie mweenye shamba kubwa la mahindi na mpunga, bad enough mashamba hua wanapewa na serikali bure walime wanachotaka maana ardhi ni ya serikali hapo unasemaje? Ila tu ukifika wakati wa kupiga kura kipindi cha Uchaguzi Mkuu lazima uwekwe front ukaibe kura ole wako ukatae
 
Mkoa gani walimu wanaoana wenyewe kwa wenyewe we wa wapi?
Mikoa yote. Tena bora wanawake wanapata wanaume kutoka profession zingine,ila mwanaume imekula kwako!
Yani dada wa watu pisi na ni muhasibu wa benki au kampuni flan akubali kuolewa na jianaume linalompumulia vumbi la chaki ? Ah wapi!
 
Acha uongo wewe, hakuna mfanyabiashara makini ataacha kusimamia biashara zake akacheze na watoto.Labda useme walikua walimu wakaacha hiyo kazi ya kijinga wakaingia kwenye business. Kenge wewe 🤣🤣🤣
Unajua hata kuendesha wewe? Bakheresa ukishawahi muona akiuza ashkrim barabarani? Au Reginald Mengi ulishawahi kuona akitangaza taarifa ya habari ITV?

Maana ya kuajili watu kwenye biashara na kusubiri hesabu hata hilo hujui? Umenunua bodaboda kwa hiyo utaacha ualimu ukasimamie bodaboda ambazo wenyewe mnapangiana hesabu akuletee kila siku

Au umejenga nyumba za kupangisha utascha kazi ukazisimamie kivipi labda

Wewe utakuwa wale wakopa pesa na kwenda kunywea kisha unarudi kulia ualimu mbaya
 
Mikoa yote. Tena bora wanawake wanapata wanaume kutoka profession zingine,ila mwanaume imekula kwako!
Yani dada wa watu pisi na ni muhasibu wa benki au kampuni flan akubali kuolewa na jianaume linalompumulia vumbi la chaki ? Ah wapi!
Ni hela yako tu hata uwe mtapisha vyoo kama una hela wanaolewa bila shida

Tafuta hela wewe
 
Back
Top Bottom