Unakubalije kuwa mwalimu?

Unakubalije kuwa mwalimu?

Ni wajinga wenzako soon watanga'amua makosa na wataanza mchakato wa kuondoka .ushahidi ni mwingi ata humu jf asilimia kubwa ya watu wanaolalamikia kazi zao ni walimu .sijui kwanini we kenge unakaza fuvu
Wewe hata hujaelewa ninachokueleza hapa.

Ni sawa na naandika Kigiriki kwako.

Kwa sababu una kichwapanzi, huwezi kujadili mambo kimantiki.

Kuna watu wana uwezo wa ku survive na kufanya vizuri kwenye ualimu.

Kama wewe umeshindwa, sema wewe umeshindwa, usitake dunia nzima iuchukie ualimu kwa sababu wewe umeshindwa ualimu.

Magufuli kapigana kwenye ualimu, kaungaunga kafika mpaka chuo kikuu, kajiongeza mpaka kawa mbunge kafika katoboa mpaka kawa rais.

Wewe unalialia ualimu mbaya msiingie kwenye ualimu.
 
Wewe hujui mantiki ni nini, kwa sababu hata hiyo mantiki imeandikwa zaidi Kiingereza na wewe una inferiority complex ukiona Kiingereza tu.

Ndiyo maana nimekutajia jambo la mantiki, logical fallacy, halafu hujachukua hata muda kujifunza hili jambo maana yake ni nini, umerukia tu kukashifu Kiingereza kingi. Hujajifunza logical fallacy nikiyokuandikia ni nini, umetoa kashfa kwa logical fallacy nyingine ya ad hominem.

Non sequitur, then ad hominem.

Unaongeza logical fallacies tu.

Ndiyo maana hata ualimu wa kima cha chini umekushinda.
Yanisaidie nini sasa , we mwalimu mjinga endelea kukaza fuvu. Na kujislgamba na vi concept vya vitabuni .
 
Wewe hata hujaelewa ninachokueleza hapa.

Ni sawa na naandika Kigiriki kwako.

Kwa sababu una kichwapanzi, huwezi kujadili mambo kimantiki.

Kuna watu wana uwezo wa ku survive na kufanya vizuri kwenye ualimu.

Kama wewe umeshindwa, sema wewe umeshindwa, usitake dunia nzima iuchukie ualimu kwa sababu wewe umeshindwa ualimu.

Magufuli kapigana kwenye ualimu, kaungaunga kafika mpaka chuo kikuu, kajiongeza mpaka kawa mbunge kafika katoboa mpaka kawa rais.

Wewe unalialia ualimu mbaya msiingie kwenye ualimu.

Ubaya wa ualimu ni nini mkuu, mleta mada?
Thibitisha pls.
Ualimu = umaskini
 
Yanisaidie nini sasa , we mwalimu mjinga endelea kukaza fuvu. Na kujislgamba na vi concept vya vitabuni .
Wewe ualimu umekudatisha una matatizo ya afya ya akili, unaandika kwa hasira na ad hominem attacks huwezi kujadiki mada, katafute counselling.

Una msongo wa mawazo baada ya ualimu kuathiri maisha yako.
 
Ualimu = umaskini

Umasikini ni nini?

Ukiwa na taifa la watoto ambao hawana waalimu una watoto panya road watupu unaweza kufurahia utajiri wako?

Kwani nani kakwambia kila mtu anataka kuwa tajiri?
 
Kwenda huna lolote
 
Umasikini ni nini?

Ukiwa na taifa la watoto ambao hawana waalimu una watoto panya road watupu unaweza kufurahia utajiri wako?

Kwani nani kakwambia kila mtu anataka kuwa tajiri?
Kwenda huko huna hoja
 
Moja ya kada ambazo ni kongwe duniani ni pamoja na ualimu. Nchi za dunia ya kwanza ni moja ya kada ambazo zinaheshimika na zina maslahi mazuri sana, na watu huwa wanahamasika kusomea na kuwa walimu.

Hapa nchini thamani ya mwalimu inapungua kadri miaka inavyosonga mbele. Ualimu ni wito ila ifikie pahala serikali iboreshe maslahi yao na mazingira ya kufanyia kazi. Bila mwalimu nisingebwabwaja humu.
 
Wewe unakiogopa Kiingereza ndiyo maana hata ualimu shule za maana hukuweza.

Nani ataajiri mwalimu asiyejua Kiingereza shule za English Medium?
Ivi wewe unafikiri kwamba we ndo unakijua kingireza kuliko watu wote eeh ?
Hii statement yako ni proof tosha jinsi ulivyo egoistic. Sioni haja ya kuendelea kubishana na wewe.hopeless!
 
Ivi wewe unafikiri kwamba we ndo unakijua kingireza kuliko watu wote eeh ?
Hii statement yako ni proof tosha jinsi ulivyo egoistic. Sioni haja ya kuendelea kubishana na wewe.hopeless!
Na ujue kingereza ni lugha kama lugha nyingine tu haina impact yyte katika mafanikio ya mtu sawa dogo.
 
Ivi wewe unafikiri kwamba we ndo unakijua kingireza kuliko watu wote eeh ?
Hii statement yako ni proof tosha jinsi ulivyo egoistic. Sioni haja ya kuendelea kubishana na wewe.hopeless!
Wewe hata Kiswahili hujui ndiyo maana umeandika "Kingireza" 😂😂😂

Wewe ndiye uko egoistic ndiyo maana umejiona una haki ya kuwaambia watu wote wasiwe walimu bila hata kufikiri kila mtu akikataa kuwa mwalimu watoto watafundishwa na nani.
 
Back
Top Bottom