Unakubalije kuwa mwalimu?

Unakubalije kuwa mwalimu?

Ona ulivyo mjinga na akili za kimaskini,kwaiyo mtu mwenye degree kulipwa basi salary 850,000 ni jambo la kujivunia !🤣🤣🤣🤣🤣🤣 baada ya deductions anabaki na kama laki 5 ivi
Kweli wajinga ni wengi hii nchi
Hivi mwenzetu ww unatazama mambo Kwa angle Gani?ni watanzania wangapi wanauwezo wa kukunja hiyo pesa Kwa mwezi...?very few..labda ww ni mbunge ndo unaweza kuongea hivyo...lakini trust me take home kwa ajira mpya ni 695000/- ambayo kwa mtu mwenye malengo ni pesa ndefu saanaaa...
 
Hawa watu wengine kama mtoa mada ni wajinga sana. Wana umasikini wa mali na akili. Hawawezi kufikiria nje ya umasikini wao.

Hata kama ualimu hauna maslahi, badala ya kupigania walimu wapate maslahi, unapiganiaje watu wote wasiwe walimu?
We ndio mjinga,mbona hujawa mwalimu.nonsense !
 
Hawa watu wengine kama mtoa mada ni wajinga sana. Wana umasikini wa mali na akili. Hawawezi kufikiria nje ya umasikini wao.

Hata kama ualimu hauna maslahi, badala ya kupigania walimu wapate maslahi, unapiganiaje watu wote wasiwe walimu?
We ndio mjinga,mbona hujawa mwalimu.nonsense
 
Ivi wewe mbona unakaza fuvu, hujiulizi kwanini watu wengi wanaacha ualimu na kwenda kwenye issues nyingine? Mbona wanasiasa hawatoki kwenye politics kurudi kuwa walimu? Cant you reason,

Weka namba hapa.

Watu wengi wanaacha ualimu hao wanaofundisha mashuleni ni nani?
 
Hivi mwenzetu ww unatazama mambo Kwa angle Gani?ni watanzania wangapi wanauwezo wa kukunja hiyo pesa Kwa mwezi...?very few..labda ww ni mbunge ndo unaweza kuongea hivyo...lakini trust me take home kwa ajira mpya ni 695000/- ambayo kwa mtu mwenye malengo ni pesa ndefu saanaaa...
Ndo maana nazidi kusisitiza wewe ni mjinga na una mentality ya kimaskini
 
Hawa watu wengine kama mtoa mada ni wajinga sana. Wana umasikini wa mali na akili. Hawawezi kufikiria nje ya umasikini wao.

Hata kama ualimu hauna maslahi, badala ya kupigania walimu wapate maslahi, unapiganiaje watu wote wasiwe walimu?
Unajua mkuu humu ndani kidg nshaanza kupazoea Kuna watu chapisho nikijua ni ujinga hata sifungui,

Watu wote tuwe engineer au madaktari ?

wangapi nje ya ualimu wanalia ajira ngumu?

Hata engineering au afya kwani ni wote wamefanikiwa ?

Watz tuna ujinga wa kuona kazi hii ni aibu,

Kama aibu Kuna mtu kamlipia Kodi au bill yoyote ni hakuna ?

Kuna ukuaji wa teknolojia hasa upande wa roboti je haoni kila kazi itakuwa chini ya roboti na kufanya soko la ajira kuwa gumu ?

Tunahitaji kujua mambo na kubalance kwa hicho kidogo kila mtu apate.
 
Kuna watu ni wajinga katika kazi yoyote watakayoifanya.

Wakishindwa kazi wanaisingizia fani.

Unawezaje kujenga hoja watu wote wasiwe walimu, nje ya mihemuko ya kuwa emotional tu?
 
Weka namba hapa.

Watu wengi wanaacha ualimu hao wanaofundisha mashuleni ni nani?
Ni wajinga wenzako soon watanga'amua makosa na wataanza mchakato wa kuondoka .ushahidi ni mwingi ata humu jf asilimia kubwa ya watu wanaolalamikia kazi zao ni walimu .sijui kwanini we kenge unakaza fuvu
 
Kuna watu ni wajinga katika kazi yoyote watakayoifanya.

Wakishindwa kazi wanaisingizia fani.

Unawezaje kujenga hoja watu wote wasiwe walimu, nje ya mihemuko ya kuwa emotional tu?
Matatizo ya saikolojia

Uropokaji

Kutaka attention kwenye mada ambazo hata kujenga hoja hawezi,

Njaa mbaya akale kwanza
 
Wewe ni mjinga na kingereza kingi kisichokua na mantiki
Wewe hujui mantiki ni nini, kwa sababu hata hiyo mantiki imeandikwa zaidi Kiingereza na wewe una inferiority complex ukiona Kiingereza tu.

Ndiyo maana nimekutajia jambo la mantiki, logical fallacy, halafu hujachukua hata muda kujifunza hili jambo maana yake ni nini, umerukia tu kukashifu Kiingereza kingi. Hujajifunza logical fallacy nikiyokuandikia ni nini, umetoa kashfa kwa logical fallacy nyingine ya ad hominem.

Non sequitur, then ad hominem.

Unaongeza logical fallacies tu.

Ndiyo maana hata ualimu wa kima cha chini umekushinda.
 
Back
Top Bottom