Unakubalije kuwa mwalimu?

Unakubalije kuwa mwalimu?

Ualimu una umuhimu kuna wenzio wakina nani yule wamecheza na chama cha kijani wamepewa ukatibu mkuu mtu alikua mwalimu shule ya msingi magomeni kagera
Angebakia sasa kwenye ualimu kama una umuhimu.mbona hatuskii watu wakitoka kwenye fani zingine kuja kwenye ualimu ila wanatoka kwenye ualimu kwenda kwenye fani nyingine?
 
Hii ndio the worst job ever, usikubali kuwa mwalimu liwalo na liwe ,bora ukaponde kokoto
Ungesema kwa baadhi wako walimu wenye nidhamu ya kazi na nidhamu ya fedha wanamiliki hadi majumba na magari na mashamba makubwa ya kilimo cha biashara, wana hadi bodaboda na bajaji na daladala na ualimu hawaachi
Popote kwenye ajira kama huna nidhamu ya kazi na nidhamu ya pesa utaichukia hiyo kazi hasa
 
Raha ya maisha ni ukiwa na nguvu kulipwa uzeeni pesa inaishia kwenye matibabu ya magonjwa ya uzeeni
Ndio hivyo walimu wengi wanalipwa pesa nyingi wakistaafu kwa hio huu msoto wa huku mwanzo unaisha ukishastaafu kibunda kirefu kinaingia
 
Ungesema kwa baadhi wako walimu wenye nidhamu ya kazi na nidhamu ya fedha wanamiliki hadi majumba na magari na mashamba makubwa ya kilimo cha biashara, wana hadi bodaboda na bajaji na daladala na ualimu hawaachi
Popote kwenye ajira kama huna nidhamu ya kazi na nidhamu ya pesa utaichukia hiyo kazi hasa
Acha uongo! Mtu mwenye biashara ya kueleweka inayomuingizia fedha ya maana abaki kwenye ualimu kufanya nini? Wadanganye wajinga
 
Angebakia sasa kwenye ualimu kama una umuhimu.mbona hatuskii watu wakitoka kwenye fani zingine kuja kwenye ualimu ila wanatoka kwenye ualimu kwenda kwenye fani nyingine?
Ndio chanza ni ualimu
 
  • Thanks
Reactions: EEX
Kuna walimu private schools wanaishi maisha mazuri tu.

Ukishindwa kujiongeza, kujibrand na kuji market utafulia fani yoyote.

Usikariri.
Very few, 1 out of 1000.
 
Angebakia sasa kwenye ualimu kama una umuhimu.mbona hatuskii watu wakitoka kwenye fani zingine kuja kwenye ualimu ila wanatoka kwenye ualimu kwenda kwenye fani nyingine?
Inategemea unaongelea level ipi? Mfano shule zinazofaulisha sana za sekondari za private wana walimu hadi ma injinia wanafundisha masomo ya fizikia na hisabati

Kuna wahasibu na wachumi wanafundisha combination za EGM na ECA na HGE full time
 
Acha uongo! Mtu mwenye biashara ya kueleweka inayomuingizia fedha ya maana abaki kwenye ualimu kufanya nini? Wadanganye wajinga
Jamaa anakwambia ukweli sasa unabisha nini yaan kua UWT tayari wewe ni fursa tosha kwa Serikali maana lazima wakutumie kuwaibia kura ili ulipwe vizuri
 
Very few, 1 out of 1000.
Infact waivo ni wa international schools na private schools chache sana. Ivi we mwalimu wa primary ibungilo 'B' utajibrand vipi uingize 2,3 au 4 au 5 million per month?
 
Na hutopata demu mzuri ngo' ukitongoza akajua tu we ni mwalimu ,demu huyooo
Brother na hapa Niko kwenye kochi nimetulia baada ya kuchakata aisee pisi nayokula ni Kali mno afu gen z kipaji na ni mwaka wa 3 sasa
 
Kuna walimu private schools wanaishi maisha mazuri tu.

Ukishindwa kujiongeza, kujibrand na kuji market utafulia fani yoyote.

Usikariri.
Sasa hapo macho kwenye mchuzi mkono kwenye ubwabwa
 
Back
Top Bottom