October 29
JF-Expert Member
- Nov 5, 2024
- 3,148
- 4,452
We umezaliwa unajua kusoma na kuandika mwenzetu??Hii ndio the worst job ever, usikubali kuwa mwalimu liwalo na liwe ,bora ukaponde kokoto
We umezaliwa unajua kusoma na kuandika mwenzetu??Hii ndio the worst job ever, usikubali kuwa mwalimu liwalo na liwe ,bora ukaponde kokoto
Vipindi YouTube, WhatsApp, Instagram kasoro Tiktok huko usiende kumejaa watoto wengi sana under 8Infact waivo ni wa international schools na private schools chache sana. Ivi we mwalimu wa primary ibungilo 'B' utajibrand vipi uingize 2,3 au 4 au 5 million per month?
Najua Kuna namna umeumizwa na maisha na unatafuta namna ya kutoa hasira YakoKwenye maisha changamoto zipo kila mahali ila ualimu ni upuuzi.
Ndio hivyoUongo😂😂😂
Amini brza mapenzi sio pesa wala kazi ni kukutana na kuanza kuishiHuo Uongo 😂😂😂
We ndio mpuuzi, hakuna unachojua, kwanza bila ualimu ht we usingeweza kuja kuandika huu upuuzi wako JF. Pili mishahara inategemea uchumi wa nchi husika. Mishahara ya serikali nchi hii kwa fani zote inalingana, tena mwalimu mshahara wa kuanzia ni mzuri zaidi kuliko kwa mfano mwanasheria wa serikali. Ht wachumi, wahasibu wa serikali mishahara ni equivalent. Tatizo lako ni uvivu wa kazi na kutaka shortcut. Walimu sk hz wana maendeleo makubwa km kada zingine. Ualimu utakuwepo mpk mwisho wa dahari, we mwenyewe ukiwa na hela unataka umpeleke mtoto wako shule nzuri, huko wanaomfundisha siyo walimu? Tuheshimu ualimu na walimu.Kwenye maisha changamoto zipo kila mahali ila ualimu ni upuuzi.
Nenda Moshi kaangalie shule za serikali za msingi walimu wanaenda shule na magari ya nguvuAcha uongo! Mtu mwenye biashara ya kueleweka inayomuingizia fedha ya maana abaki kwenye ualimu kufanya nini? Wadanganye wajinga
Acha kulia we teacher tafuta kazi ya maana.We ndio mpuuzi, hakuna unachojua, kwanza bila ualimu ht we usingeweza kuja kuandika huu upuuzi wako JF. Pili mishahara inategemea uchumi wa nchi husika. Mishahara ya serikali nchi hii kwa fani zote inalingana, tena mwalimu mshahara wa kuanzia ni mzuri zaidi kuliko kwa mfano mwanasheria wa serikali. Ht wachumi, wahasibu wa serikali mishahara ni equivalent. Tatizo lako ni uvivu wa kazi na kutaka shortcut. Walimu sk hz wana maendeleo makubwa km kada zingine. Ualimu utakuwepo mpk mwisho wa dahari, we mwenyewe ukiwa na hela unataka umpeleke mtoto wako shule nzuri, huko wanaomfundisha siyo walimu? Tuheshimu ualimu na walimu.
We kima si ukae kima km huna cha kuandika? Marais wa nchi wake zao walimu. Baba wa Taifa, Kikwete, Magufuli wake zao walimu, sijataja mawaziri wakuu na viongozi wengi wa kada za juuWalimu wanaoana wenyewe kwa wenyewe
Huo ni uongo , vibiashara vyao vidogo dogo tunavijua, mtu mwenye biashara ya kueleweka anabaki kwenye ualimu ili iweje.Nenda Moshi kaangalie shule za serikali za msingi walimu wanaenda shule na magari ya nguvu
Au Nenda Dar na Arusha shule za msingi za serikali uone
Kawaulize wanakopa pesa vyama vya kuweka na kukopa vya walimu na benki wanafungua biashara za uhakika.Na ualimu hawaachi sababu kukopa ukiwa mwalimu ni rahisi kwenye mabenki kuliko ukiwa nje ya ualimu.Ndio maana hawaachi ualimu hata miradi istawi vipi
Wewe kama huwa unakopa kulewea shauri yako.Hakuna mtu anaaminiwa na benki kukopeshwa kama mwalimu aliye kwenye ajira ya serikali
Kima ni wewe hutaki kukubali ukweli mateacher huwa mnaowana nyinyi kwa nyinyi,kazi kupumiliana tu vumbi la chakiWe kima si ukae kima km huna cha kuandika? Marais wa nchi wake zao walimu. Baba wa Taifa, Kikwete, Magufuli wake zao walimu, sijataja mawaziri wakuu na viongozi wengi wa kada za juu
We ni mvivu ndio maana, ualimu hauhitaji uvivu. We ni wale wakifika kazini umbea na kusubiri muda wa chai na chakula cha mchanaAcha kuwatia moyo walimu wewe zereminus10, ualimu ni kuteseka from day q mpk siku unaingia kaburini
Ndio aweza kuzibua chooUnaweza kufanya kazi ya kuzibua vyoo?
Vijijini kuna walimu matajiri wana maduka mashine za kusaga,mashamba wengine huwa wanunuzi wa mazao kwa wakulima vijijini na kuyauza kwenye masoko yenye bei nzuriInfact waivo ni wa international schools na private schools chache sana. Ivi we mwalimu wa primary ibungilo 'B' utajibrand vipi uingize 2,3 au 4 au 5 million per month?
We pambana na umaskini wako huna unalojuaHuo ni uongo , vibiashara vyao vidogo dogo tunavijua, mtu mwenye biashara ya kueleweka anabaki kwenye ualimu ili iweje.
Ndo maana umaskini umewaandama sababu wamefungwa kwenye chain ya mikopo
We mkundu mi siyo mwalimu ila we una frustration kwasababu ya ufukara. Halafu bwege km we ht huo ualimu huwezi pata, mlaumu mamako kuzaa zombie km wewe.Kima ni wewe hutaki kukubali ukweli mateacher huwa mnaowana nyinyi kwa nyinyi,kazi kupumiliana tu vumbi la chaki