Unakijua Chama Cha KADIMA?

Unakijua Chama Cha KADIMA?

CHADEMA - KADIMA

CHA- KA
DE-DI
MA-MA

Mwandishi ulipaswa kwanza kujua aliyekuwa anatamka maneno haya anatumia lugha ya Kiingereza.

Katika matumizi ya Lugha ya kiingereza si ajabu kwa ''CHA'' kutamkwa KA mfano: neno ''Character'' au ''Chameleon'' na ''DE'' kutamkwa ''DI'' kwa mfano neno DECEASED

Kwa hili la matamshi sijaona tatizo,kama ni mfuatiliaji wa lugha nina hakika unafahama tolerance katika uzungumzaji na utamkaji wa maneno ya lugha ngeni kwa mtu.
 
Endelea kulala doroo
ukingojea uletewe maendeleo
na malaika.

Ya kupika yanatoka wapi
unaonyesha ukilaza wako hapa jamvini.

Kweli we mamdenyi kwelikweli maendeleo huletwa na serikali madhubuti na yenye sera safi zenye kutekelezeka hivyo unataka kutuambia wananchi tutafute wakandarasi na tuwalipe waanze kutengeneza barabara? Je kodi tunakusanya sisi wananchi? Migodi ya madini tunamiliki sie? Kama vipi nenda kupika tu hutapungukiwa kitu.Kuliko kuja na michango isiyo na maana
 
Acha kudharau jinsia ya kike. Jadili hoja...
 
CHADEMA - KADIMA

CHA- KA
DE-DI
MA-MA

Mwandishi ulipaswa kwanza kujua aliyekuwa anatamka maneno haya anatumia lugha ya Kiingereza.

Katika matumizi ya Lugha ya kiingereza si ajabu kwa ''CHA'' kutamkwa KA mfano: neno ''Character'' au ''Chameleon'' na ''DE'' kutamkwa ''DI'' kwa mfano neno DECEASED

Kwa hili la matamshi sijaona tatizo,kama ni mfuatiliaji wa lugha nina hakika unafahama tolerance katika uzungumzaji na utamkaji wa maneno ya lugha ngeni kwa mtu.

Asante kwa ufafanuzi. Sasa tutajie kwa kichina KADIMA inatwaje?
 
Mu-Israeli unataka tz ikabidhiwe kwa paul kagame
au unataka nini hasa;

Hayo maendeleo unayosema ni yapi kwani;
Na unataka nani akuletee usiposugua kichwa chako
ukisaidiana na wanaokuzunguka ili mjiletee hayo
maendeleo unayotaka.

Sawa kabisa, mimi najishughulisha sana na kazi zangu.
Changamoto hapa serikali haifanyi sehemu yake.

Unajua kuwa bila serikali kufanya sehemu yake, hata ufanye nini, huwezi kuendelea wewe kama mtu binafsi.
Mfano:-
Serikali isipojenga miundombinu ya barabara, reli, maji, umeme, n.k. huwezi kusafirisha mazao toka shamba kwenda sokoni.
Serikali isipoboresha huduma za hospitali, shule, vyuo vikuu, n.k watoto hawatasoma vizuri.
Serikali isipokusanya kodi, huduma zote zitezorota.
Serikali isipoimarisha ulinzi ndani ya nchi, wahalifu watatawala na kutumaliza wote.
N.K.....

Ndio maana nasema wenzetu Rwanda wamepiga hatua sana kwenye maeneo hayo niliyoyataja hapo juu.
Serikali yao iko makini kuwahudumia wananchi wao ili wajishughulishe na kazi zao.

Sisi hapa TZ, serikali iko busy kuwatetea wahalifu wa 'unga', mafisadi, wawekezaji feki, n.k.
Hatutakaa tuendelee hata kama wewe na mimi tutafanya kazi masaa 24 na kuzalisha sana mali.
Badala yake mazao yetu yataozea mashambani, wahalifu wa 'unga' wataharibu watoto wetu, mafisadi watapora pesa zetu zote za kodi, n.k.

Upo hapo dada yangu..??????

Copy: ZeMarcopolo
 
Last edited by a moderator:

Mkuu nimekubali hoja zako kumjibu huyo mama kunawengine hawajui maendeleo ya nchi na mtu binafsi kuyatofautisha
 
Mu-Israeli unataka tz ikabidhiwe kwa paul kagame
au unataka nini hasa;

Hayo maendeleo unayosema ni yapi kwani;
Na unataka nani akuletee usiposugua kichwa chako
ukisaidiana na wanaokuzunguka ili mjiletee hayo
maendeleo unayotaka.

Hapo kwenye blue,
Tembelea thread hii hapa utaona jamaa wa Rwanda walivyo serious na nchi yao.
Rwanda hawana utajiri kama Tanzania, lakini ona 'swaga' zao kwenye thread hiyo..!!!
Sisi huku kila kukicha tuko JF kumshambulia mtu fulani tu, huku nchi 'ikiliwa' na 'jamaa zetu' fulani.

https://www.jamiiforums.com/international-forum/535884-vision-city-kigali-rwanda.html

Copy: ZeMarcopolo na FaizaFoxy.
 
Last edited by a moderator:
Asante japo sitapatembelea ili nisije ingia hasira nikajikuta
naichukia nchi yangu.

Hivi ukiwa jf unatumia akili zako zoote hapo
Nakushauri uweke akili zako kwenye miradi yako ya maendeleo
yako na ya nchi yako, jf ni kama burudani tu wala usitumie nguvu nyingi sana.

Kama unatamani rwanda nenda ukaone cha mtema kuni;
kipende chako Mu-Israeli
siku ingine utatamani na mke wa mwenzio kwa kuwa anatunzwa
vizuri na mume wake.......... ha ha ha .....utani tu lakini.

Sawa kabisa, mimi najishughulisha sana na kazi zangu.
Changamoto hapa serikali haifanyi sehemu yake.

Unajua kuwa bila serikali kufanya sehemu yake, hata ufanye nini, huwezi kuendelea wewe kama mtu binafsi.
Mfano:-
Serikali isipojenga miundombinu ya barabara, reli, maji, umeme, n.k. huwezi kusafirisha mazao toka shamba kwenda sokoni.
Serikali isipoboresha huduma za hospitali, shule, vyuo vikuu, n.k watoto hawatasoma vizuri.
Serikali isipokusanya kodi, huduma zote zitezorota.
Serikali isipoimarisha ulinzi ndani ya nchi, wahalifu watatawala na kutumaliza wote.
N.K.....

Ndio maana nasema wenzetu Rwanda wamepiga hatua sana kwenye maeneo hayo niliyoyataja hapo juu.
Serikali yao iko makini kuwahudumia wananchi wao ili wajishughulishe na kazi zao.

Sisi hapa TZ, serikali iko busy kuwatetea wahalifu wa 'unga', mafisadi, wawekezaji feki, n.k.
Hatutakaa tuendelee hata kama wewe na mimi tutafanya kazi masaa 24 na kuzalisha sana mali.
Badala yake mazao yetu yataozea mashambani, wahalifu wa 'unga' wataharibu watoto wetu, mafisadi watapora pesa zetu zote za kodi, n.k.

Upo hapo dada yangu..??????

Copy: ZeMarcopolo
 
Last edited by a moderator:
Kama unatamani rwanda nenda ukaone cha mtema kuni;
kipende chako Mu-Israeli
siku ingine utatamani na mke wa mwenzio kwa kuwa anatunzwa
vizuri na mume wake.......... ha ha ha .....utani tu lakini.

Mimi nilikuwa nalinganisha Tanzania na Rwanda ili kuwaamsha wa-Tanzania waone jinsi tulivyo nyuma kimaendeleo.

Nasema tena, na narudia...

Tanzania kwa utajiri tulionao, tulitakiwa tuwe na maendeleo makubwa zaidi ya Afrika Kusini.
Sasa leo hii, tunashindwa na ka-nchi kama Rwanda...!!!
Hivi hatushtuki tu..!!

Kweli ukienda Rwanda halafu ukiwa na tabia za ki-Tanzania za rushwa, ufisadi, biashara za 'unga, n.k. utanyongwa tu..!!
Rwanda hakuna fisadi wala mla rushwa..!!! Maendeleo ni kwa kwenda mbele tu.
Hapo ndio kwenye tofauti kati ya Rwanda na Tanzania.

Mamndenyi, wewe ukiwa Rais wa Tanzania, utatumiaje utajiri wa Tanzania ??
Utajiri wa Tanzania ni huu hapa:-
  • Dhahabu nyingi sana kila kona ya Tanzania ( Tanzania tuna dhahabu nyingi kuliko Afrika Kusini)
  • Almasi
  • Tanzanite
  • Gesi nyingi saaana, mpaka nyingine serikali imeamua kuficha habari zake ili kulinda 'amani' (upo hapo..??).
  • Mafuta mengi saaana (mpaka Zanzibar wanataka kujitenga ili wafaidi mafuta yaliyoko kwenye bahari yao)
  • Mlima Kilimanjaro (Hivi ujajua kuwa Mlima Kilimanjaro unaingiza pesa nyingi kuliko mrahaba wa dhahabu hapa Tanzania ??)
  • Ardhi nzuri kwa kilimo (Tanzania inaweza kulisha Afrika nzima)
  • Bahari, maziwa na mito mingi sana kwa ajili ya umwagiliaji na huduma za maji kwa wananchi. (hivi unajua kuwa Afrika Kusini wananunua maji toka nje ya nchi..??)
  • Na kadhakika...

Niambie Mamndenyi kwa utajiri huu, hivi nchi kama Rwanda inaweza kutushinda kwa maendeleo ????
 
Asante japo sitapatembelea ili nisije ingia hasira nikajikuta
naichukia nchi yangu.

Hivi ukiwa jf unatumia akili zako zoote hapo
Nakushauri uweke akili zako kwenye miradi yako ya maendeleo
yako na ya nchi yako, jf ni kama burudani tu wala usitumie nguvu nyingi sana.

Tembelea tu hiyo thread uone mwenyewe,
Usiogope sana, ni swala dogo tu la uongozi wa nchi.

Mimi ni mchapa kazi sana, ndio maana nataka uongozi wetu nao uwe kama mimi (yaani wawe wachapa kazi hodari wenye uzalendo.

Tembelea hiyo thread halafu nishtue.
 
Asante japo sitapatembelea ili nisije ingia hasira nikajikuta
naichukia nchi yangu.

Hivi ukiwa jf unatumia akili zako zoote hapo
Nakushauri uweke akili zako kwenye miradi yako ya maendeleo
yako na ya nchi yako, jf ni kama burudani tu wala usitumie nguvu nyingi sana.
Nchi imeuzwa na wahuni watu wanataabika,halafu wewe unakuja na utani wako kama huu. Mama huwezi nenda kwenye majukwaa mengine kama mapenzi, mapishi, udaku nk.
 
Dr Slaa kadanganya!! Mimi nadhani mngetupa sentence inayoonyesha uongo wake au mngetupa link ya video ya mahojiano kama mliyotupa ya Naibu Waziri wa Elimu Dr Mheshimiwa Philip Mulugo

Na pia mnaikumbuka ile ya Fastjet, alipoulizwa sababu ya umaskini Tanzania akasema hajui?? Sio mnatuletea maneno ya kiswahili wakati majadiliano ni ya kiingereza

English for English

Swahili for swahili

Hizo hoja mnazo zisema hazipo

Joash

uko sahihi mkuu, na hasa ukizingatia kuwa mleta mada ni zao la st kayumba
 
sometimes i wonder why hata taifa lilitulipia kusoma... some of us dont deserve any support whatsoever kutoka kwa mtu au kiumbe yoyote

Zemarcopolo is such a disappointment to me; he has curtained himself against the reality and is permanently damaging any chance of being open minded, at least for one second
 
Back
Top Bottom