prs
JF-Expert Member
- Feb 22, 2013
- 2,642
- 3,375
Sawa ndugu.
Tanzania 'ajira' nyingi sana wakati hali ya uchumi inaporomoka.
Sijui kama wana-uchumi wanasemaje kwenye hili swala.
Ila duh, hoja ya leo ya ZeMarcopolo imetia fora.
Itabidi Zemarcopolo awe ana pita-pita mitaani kisikiliza watu wanavyotamka maneno.
Akisikia tu mtu kakosea kutamka neno 'mjomba' badala yake katamka 'njomba', basi Zemarcopolo atapiga mbio kuja JF kuanzisha thread..!!!
Hapo basi..... siku imeingia.....!!!
Aanze na ya waziri wake..Tanzania ni muungano wa nchi mbili ambazo ni....
Tanganyika na..... Atamalizia ZeMarcopolo
Last edited by a moderator: