Unakijua Chama Cha KADIMA?

Unakijua Chama Cha KADIMA?

sometimes i wonder why hata taifa lilitulipia kusoma... some of us dont deserve any support whatsoever kutoka kwa mtu au kiumbe yoyote

Zemarcopolo is such a disappointment to me; he has curtained himself against the reality and is permanently damaging any chance of being open minded, at least for one second

We are told that zemarcopolo is in period so be patient during this transition

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
sometimes i wonder why hata taifa lilitulipia kusoma... some of us dont deserve any support whatsoever kutoka kwa mtu au kiumbe yoyote

Zemarcopolo is such a disappointment to me; he has curtained himself against the reality and is permanently damaging any chance of being open minded, at least for one second

Kilichofanyika hapa ni kufafanua kilichotokea kwenye interview, ili wale ambao hawajapata fursa ya kusikiliza wapate taarifa.

Sasa sijaelewa kwanini jambo hilo wewe likuudhi!!! Au unataka Slaa akiabisha iwe siri, taarifa zitolewe pale anapofanya vizuri tu? Hiyo si sawa, taarifa zote zinapaswa kuwafikia wananchi.
 
i saw with my very own eyes the interview

you got stuck to pronunciation, etc. i didnt see any kuaibika at all... he was honest and for the first time in years tumeona hotuba inakua quoted hata na other countries... I am 100% sure kwamba hata hotuba ya JK ya October hujui alisema nini zaidi ya kujua kwamba aliongelea katiba, Lissu blah blah

Nyie timu member mnatupeleka kubaya sana kwa kupeana madaraka na kuwa tayari kutoa roho za watu achilia mbali character assassination ili tu muwepo somewhere

Walikuwepo aki "Julai twenty slii" wako wapi sasa

time will tell
 
Huwezi kufananisha mtu anayeongoza Wilaya na mtu anayeongoza Nchi.

Rwanda ni sawa na Wilaya ya Kisarawe tu!

Sasa tunalinganisha vipi hapa!!!

Maana kuna nchi nyingi Europe ni ndogo na tunaomba misaada kutoka kwao..

Kama ndivyo unavyofikiri basi tujilinganishe na China..
 
i saw with my very own eyes the interview

you got stuck to pronunciation, etc. i didnt see any kuaibika at all... he was honest and for the first time in years tumeona hotuba inakua quoted hata na other countries... I am 100% sure kwamba hata hotuba ya JK ya October hujui alisema nini zaidi ya kujua kwamba aliongelea katiba, Lissu blah blah

Nyie timu member mnatupeleka kubaya sana kwa kupeana madaraka na kuwa tayari kutoa roho za watu achilia mbali character assassination ili tu muwepo somewhere

Walikuwepo aki "Julai twenty slii" wako wapi sasa

time will tell

Mkuu,

Kwanini hujafungua thread ya kujadili yale mambo uliyoona yanafaa zaidi kujadiliwa?

Mimi na watu niliokuwa nao tumeona Slaa ametia aibu na kwa kweli kwa umri wake haikufaa kuwa hivyo, ndio maana tukashauriana kuanzisha hii thread. Hiyo heading ya thread imetokana na maoni ya mdau muhimu sana katika siasa nchini, kwahiyo hii thread sio wazo la mtu mmoja.

Je, wewe ni miongoni mwa walaghaika wa siasa za kilaghai za Dr. Slaa?
 
Sasa tunalinganisha vipi hapa!!!

Maana kuna nchi nyingi Europe ni ndogo na tunaomba misaada kutoka kwao..

Kama ndivyo unavyofikiri basi tujilinganishe na China..

Acha porojo. Fanya kazi kwa bidii ujipatie maendeleo...
 
Kwamba CHADEMA haina majority kwa kambi ya Upinzani Bungeni?Hivi kumbe kiingereza ni tatizo kubwa hivi?

Tatizo sio kiingereza mkuu, ni mtu tu anaamua kwa makusudi kutokuelewa na kupotosha ukweli.
 
Hatuna urafiki na magaidi hata kama akiwa ubalozi.Nyoka ni nyoka hata akijifanya mjusi.Uso wa mbuzi tu hapa sasa hivi mpaka kieleweke
 
kwani ubalozi wa Tanzania hapa Washington DC ,unawakilisha serikani ya nani?.sio ya Magaidi wa ccm?
 
Slaa anajisikia ufahari kutembelea maeneo mbalimbali lakini hajawahi kugusa Ubalozi wa Tanzania DC ingawa aliita hapo DC na kufanya mkutano ambao hakuna aliyehudhuria.

Slaa amedhihirisha kuwa anafanya siasa za chuki zisizo na uzalendo.
 
hata yule mchina wenu aliyekuwa anawapigieni debe juzi juzi .alishindwa kutamka chama cha mapinduzi.au mnataka tuwekeni uzi hapa.wangapi wanashindwa kutamka chama cha mapinduzi.unajua mtu halieshindwa hoja ua anaangalia msatari mmoja wa neno ndio kinga yake.SLaa sasa hivi anakanyaga twende tuuuuuuuuuuuuu.Baba twende,ccm wanapata dege dege huku.
 
Kwahiyo hilo umelijua baada ya KADIMA kusemwa?
 
Yaani kama Engine za UVCCM ndo zinakuja na Propaganda mfu na Dhaifu kama hizi basi nachelea kusema UVCCM wote vichwa vyao vimejaa Makamasi
 
nani amekuambia hakuna mtu aliyehudhuria.nikuwekee picha.Kwanza nakupa data kamili kuhusu washington dc.mimi nakaa hapa.kwanza nakupa pole kuwa ubalozi wa tanzania chini ya mama maajar ulipanga kuweka viongozi kwenye jumuhia ya watanzania wawe wote kutoka ccm[tawi la ccm[loveness mamuya,na Jacob Kinyemi]hawa wote ni viongozi wa CCM katika tawi la DMV.Tulipata habari zao .Tukasema kwenye kupiga kura lazima kila mtu aje na passport ya Tanzani ili kujua kama kweli wewe ni mtanzania.Na sisi tuliwapanga viongozi wetu.Tulishainda hadi sasa Rais wa jumuhia ya watanzania ni chadema,makamu wake ni chadema,katibu ni chadema,.kuna wajumbe wengi chadema.Fikilia tu kwa akili yako kama ccm wapo wengi hapa mbona wanashindwa kuchangua viongozi wa jumuhia ya watanzania?.Nasubiri jibu lako.balozi[maajar] wako tunajua kwa nini alikimbizwa hapa washington dc.amekaa miaka miwili tu.aliletwa kwa ajili kuisambaratisha chadema.kasambaratishwa yeye.
 
Mkuu,

Kwanini hujafungua thread ya kujadili yale mambo uliyoona yanafaa zaidi kujadiliwa?

Mimi na watu niliokuwa nao tumeona Slaa ametia aibu na kwa kweli kwa umri wake haikufaa kuwa hivyo, ndio maana tukashauriana kuanzisha hii thread. Hiyo heading ya thread imetokana na maoni ya mdau muhimu sana katika siasa nchini, kwahiyo hii thread sio wazo la mtu mmoja.

Je, wewe ni miongoni mwa walaghaika wa siasa za kilaghai za Dr. Slaa?

Mkuu ungekua una kaupeo kadogo tu ambako si kakukariri ungegundua kuwa mie si mmoja wa hao unaowasema... i usually challenge whenever i think i need clarity.. nimeshatukanwa sana na baadhi ya wafuasi wa Dr. Slaa si kwamba mie simpendi, bali napenda kujua zaidi au kuchanganua hoja

But on this one, YOU GOT IT BAD
 
Hilo lilikuwa swali.
 
nani amekuambia hakuna mtu aliyehudhuria.nikuwekee picha.Kwanza nakupa data kamili kuhusu washington dc.mimi nakaa hapa.kwanza nakupa pole kuwa ubalozi wa tanzania chini ya mama maajar ulipanga kuweka viongozi kwenye jumuhia ya watanzania wawe wote kutoka ccm[tawi la ccm[loveness mamuya,na Jacob Kinyemi]hawa wote ni viongozi wa CCM katika tawi la DMV.Tulipata habari zao .Tukasema kwenye kupiga kura lazima kila mtu aje na passport ya Tanzani ili kujua kama kweli wewe ni mtanzania.Na sisi tuliwapanga viongozi wetu.Tulishainda hadi sasa Rais wa jumuhia ya watanzania ni chadema,makamu wake ni chadema,katibu ni chadema,.kuna wajumbe wengi chadema.Fikilia tu kwa akili yako kama ccm wapo wengi hapa mbona wanashindwa kuchangua viongozi wa jumuhia ya watanzania?.Nasubiri jibu lako.balozi[maajar] wako tunajua kwa nini alikimbizwa hapa washington dc.amekaa miaka miwili tu.aliletwa kwa ajili kuisambaratisha chadema.kasambaratishwa yeye.

Paranoia...
 
Back
Top Bottom