Unakijua Chama Cha KADIMA?

mleta uzi sijawahi na wala sitarajii kabisa kuja kukuamini , mara zote umesukumwa na mahitaji binafsi ( wengine wanawaiteni buku 7 fc ) , nimeupuuza uzi wako .

Huna haja ya kuamini au kutokuamini, fungua mwenyewe audio ya interview hiyo umsikie Slaa alivyotia aibu...
 
wawakilishi wa ubalozi wakimbia kwenye mahojiano

Slaa tangu aingia Marekani anakaribia mwezi sasa, lakini hajakanyaga ofisi za Balozi ingawa alikuwa DC!!!

Hii ni dharau ya hali ya juu inayoonyesha kuwa Slaa sio mzalendo. Ndio maana ubalozi nao wamempotezea.

Slaa kagombana na JWTZ, Usalama wa Taifa, Polisi, BoT na sasa ameanzisha ugomvi mpya na Ubalozi wa Tanzania Marekani. Slaa ni mtu wa siasa za chuki...
 
Slaa alitakiwa kumrekebisha mtangazaji kuwa Chama Chake sio KADIMA ni Chadema ila tatizo la Slaa ni lack of confidence anadhani ni sahihi kwa mmarekani kukosea jina la chama chake!!!

Sawa, haya kachukue buku Saba zako Lumumba ili uingize siku.
 
Acha Uongo wako.Kama una ujasiri wa kudanganya kitu ambacho kila mtu alisikia ni mangapi ya siri umedanganya?

Alijibu sawasawa kuwa CHADEMA kina majority kwa kambi ya upinzani ndiyo kikaunda kambi hiyo.

Acha Uongo wako

Normal c.r.a.p from someone in period


Kadima=chadema
Africaone=africa now
Alafu wamarekani wanachukia mtu akikosea jina???????mbna sielewi hapa!!mleta mada ebu jifkilie kabla ya kuleta mada hapa.

ulivyo kilaza kama mtangazaji mwenyewe alishindwa kutaja jina chadema iweje akasirike kwa dr.slaa kukosea jina la kipondi

Unahitaji exposure na lugha ya kiingereza ni tatizo kubwa kwako.


Ukikutana na mmarekani anayeitwa Charles muite Chalesi halafu mwambie hiyo ndiyo accent ya kiswahili, utaona reaction yake.

Slaa katia aibu sana...
 
Acha Uongo wako.Kama una ujasiri wa kudanganya kitu ambacho kila mtu alisikia ni mangapi ya siri umedanganya?

Alijibu sawasawa kuwa CHADEMA kina majority kwa kambi ya upinzani ndiyo kikaunda kambi hiyo.

Acha Uongo wako

Normal c.r.a.p from someone in period


Kadima=chadema
Africaone=africa now
Alafu wamarekani wanachukia mtu akikosea jina???????mbna sielewi hapa!!mleta mada ebu jifkilie kabla ya kuleta mada hapa.

ulivyo kilaza kama mtangazaji mwenyewe alishindwa kutaja jina chadema iweje akasirike kwa dr.slaa kukosea jina la kipondi

Unahitaji exposure na lugha ya kiingereza ni tatizo kubwa kwako.

Sawa, haya kachukue buku Saba zako Lumumba ili uingize siku.

Kama Chadema ni KADIMA, na wewe jina lako kwa kiingreza ni nani?

Mdekyuzai?
 
Kiingereza ni lugha kama ilivyo Kichaga cha Old Moshi, Kilimanjaro.

Turudi kwenye mada. Kwanini Dr. Slaa anadanganya kwenye vyombo vya habari?

Dr Slaa kadanganya!! Mimi nadhani mngetupa sentence inayoonyesha uongo wake au mngetupa link ya video ya mahojiano kama mliyotupa ya Naibu Waziri wa Elimu Dr Mheshimiwa Philip Mulugo

Na pia mnaikumbuka ile ya Fastjet, alipoulizwa sababu ya umaskini Tanzania akasema hajui?? Sio mnatuletea maneno ya kiswahili wakati majadiliano ni ya kiingereza

English for English

Swahili for swahili

Hizo hoja mnazo zisema hazipo

Joash
 

Fuatilia mjadala huu. Uongo wa Slaa umefafanuliwa kinaga ubaga.

Btw uliona ile zawadi aliyopewa Slaa ambayo mtu pekee aliyewahi kupewa ni Rais wa Marekani?
 
Una dalili za mtu asiyejitambua.

Najitambua vizuri sana.
  • Wewe, honestly, linganisha utendaji wa Paul Kagame na utendaji wa Jakaya Kikwete.
  • Wewe, honestly, linganisha uzalendo wa Paul Kagame na uzalendo wa Jakaya Kikwete.
  • Wewe, honestly, linganisha mafanikio ya kiuchumi ya Rwanda, na mafanikio ya kiuchumi ya Tanzania.

Note:
  • Rwanda kwa sasa imeendelea kiuchumi na ki-huduma za jamii kuliko Tanzania.
  • Hapo Rwanda ndio kwanza imetoka kwenye vita, sisi tuko 'hoi' kiuchumi na ki-huduma za jamii miaka 52 baada ya uhuru, wakati nchi yetu ina utajiri mkubwa sana kuliko Rwanda, na ina amani saaana kuliko Rwanda...!!!!

Jiulizeni Kulikoni ??
What is wrong with Tanzania ??
Utajiri mwingi sana lakini maskini kuliko Rwanda na Burundi ..!!!


Copy:
Ritz, Lizaboni, duchi, na Mamndenyi.
 
Last edited by a moderator:

Huwezi kufananisha mtu anayeongoza Wilaya na mtu anayeongoza Nchi.

Rwanda ni sawa na Wilaya ya Kisarawe tu!
 
MIGAMBA mingine hata ipikwe kwenye tanuru la 1000000 centigrade hayaivi hebu soma ya hili ulinganishe na UKWELI. Hili ni gamba la kijitonyama!! linajambajamba kunusuru mijambazi menzie!! Eti linaponda Dr halielewi!! Kwa hiyo Vasco ange fanya vizuri kwa zey zey zey ahm au yule the "looker" wa mjengoni anayewalinda majambazi kwa jasho!!
 

Hebu soma ulichoanbdika uone kama utakielewa. kama wewe mwenyewe hukielewi, unategemea wengine waelewe vipi?
 
Huwezi kufananisha mtu anayeongoza Wilaya na mtu anayeongoza Nchi.

Rwanda ni sawa na Wilaya ya Kisarawe tu!

Sawa kabisa.

Busara inasema mtu akiwa dhalimu kwenye jambo dogo, atakuwa dhalimu kwenye jambo kubwa pia.
Busara hiyo hiyo inasema kuwa mtu akiwa mwadilifu kwenye jambo dogo, atakuwa mwadilifu kwenye jambo kubwa pia.

Sasa Paul Kagame amekuwa mwadilifu kwenye nchi ndogo, unaonaje akipewa nchi kubwa ya Tanzania...???
Mwenyewe Paul Kagame alishawahi kusema kuwa akipewa bandari ya Dar es Salaam aiendeshe kwa miaka saba tu, ataugeuza mkoa wa Dar es Salaam kuwa kama Dubai (kimaendeleo) kwa kutumia mapato ya bandari tu.
Hapo hajagusa mapato ya dhahabu, gesi, mafuta, kilimo, tanzanite, utalii, n.k.

Waambie viongozi wako wafuate mfano wa uzalendo wa huyu jamaa hapa kwenye picha.....

Copies to:
FaizaFoxy, Lizaboni, Ritz na Mamndenyi.

 
Last edited by a moderator:
Mu-Israeli unataka tz ikabidhiwe kwa paul kagame
au unataka nini hasa;

Hayo maendeleo unayosema ni yapi kwani;
Na unataka nani akuletee usiposugua kichwa chako
ukisaidiana na wanaokuzunguka ili mjiletee hayo
maendeleo unayotaka.
 
Last edited by a moderator:
Rubbish
 
Mu-Israeli unataka tz ikabidhiwe kwa paul kagame
au unataka nini hasa;

Hayo maendeleo unayosema ni yapi kwani;
Na unataka nani akuletee usiposugua kichwa chako
ukisaidiana na wanaokuzunguka ili mjiletee hayo
maendeleo unayotaka.

Kweli we mamdenyi kwelikweli maendeleo huletwa na serikali madhubuti na yenye sera safi zenye kutekelezeka hivyo unataka kutuambia wananchi tutafute wakandarasi na tuwalipe waanze kutengeneza barabara? Je kodi tunakusanya sisi wananchi? Migodi ya madini tunamiliki sie? Kama vipi nenda kupika tu hutapungukiwa kitu.Kuliko kuja na michango isiyo na maana
 
Nina Mashaka sana NHS akili ya mtoa hoja. Nahisi akili yake haiko sawa Huyo Slaa anayemsema no huyu au mwingine. Acha mambo engine Elimu take (
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…