Unakijua Chama Cha KADIMA?


Aanze na ya waziri wake..Tanzania ni muungano wa nchi mbili ambazo ni....
Tanganyika na..... Atamalizia ZeMarcopolo
 
Last edited by a moderator:

Hapo kwenye blue, wewe uliandika kuwa mwandishi kakosea.., Labda kama ume-edit baadaye..!!!

Hapo kwenye red, sijawahi hata mara moja kutetea ulaghai wa mtu yoyote.
Ila labda unukuu post yangu yoyote hapa JF, JF iko wazi, hebu quote post yangu yoyote.
Ila wewe umeweka uongo wakati mahojiano ya Dr. Slaa yako wazi wala hayasemi ulichoandika.


Mimi siku zote makemea maovu ya mtu yoyote, haswa walioo madarakani, maana hao ndio wanaotuongoza kama nchi.
Usipowakemea hao, watatupeleka kubaya kama wanavyofanya hivi sasa kutupeleka kwenye biashara ya madawa ya kulevya mpaka Tanzania imekuwa kinara wa 'unga' hapa Afrika.

Sijakusikia wala kusoma post yako hata moja inayokemea biashara ya 'unga' hapa Tanzania, hebu tuonyeshe wapi umekemea maovu yoyote hapa Tanzania (kama vile ufisadi, rushwa, mikataba mibovu, mauaji, madawa ya kulevya, n.k).
Onyesha hapa tuone kweli wewe unakemea maovu, na sio kumkemea mtu mmoja tu kwa ushuhuda wa uongo.

Copy: Mamndenyi
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Hizi kauli za Slaa ndio zinawakatisha tamaa watu kama Mohammedi Mtoi kushiriki harakati za KADIMA.
“Mkataa kwao mtumwa” hata kama katibu wa KADIMA analikoroga aendelee tu.“Kivuli cha fimbo hakimstitiri mtu”

 

Ni kweli kuwa sijawahi kukemea biashara ya unga hapa JF na sina mpango. Wengi wenu ni watu mnaoendeshwa na matukio. Sijaona kipya kwenye biashara hiyo na nina agenda za msingi zaidi za kushape public opinion.

Sio kweli kwamba sijawahi kukemea maovu. Tafuta thread yangu yenye heading "Pinda - a clueless PM" utaona nimeandika nini, just google that heading itakupeleka kwenye thread.

Unawaza pia kusoma michango yangu juu ya mishahara ya viongozi.
 
Last edited by a moderator:

Akili za Malechela mwaka fulani alisimama mnazi moja akiwa waziri mkuu akimtumia Miss Tanzania mwaka ule akidanganya umati kwamba Tanzanian inafahamika dunia nzima kumbe wengi wanaijua kwa ombamba na wakati wa Mwalimi ilijulikana kwa siasa zake safi .
 
Tanzania haihitaji chama kipya kiongoze ila inaitaji watu wa kuongoza.
 
Hauna TOfauti na Mr. Dhaifu kumjadili Lisu na kufanya ndio hotuba ya mwezi.
Na wewe hapa ni Slaa Slaa
 

Okay,

Sasa soma hapa. Hotuba kamili imewekwa hapa, hakuna kuchakachua wala kudanganya.

This time mwandishi hakukosea kutamka Chadema.

Copy: duchi
 
Last edited by a moderator:
Tanzania haihitaji chama kipya kiongoze ila inaitaji watu wa kuongoza.

Watu wenye uwezo na uzalendo wa kuongoza, na sio watu wanaitia sahihi mikataba mibovu ya kuuza nchi.

Mfano mzuri wa watu hao ambao ni makini kabisa kwenye uongozi ni huu hapa...

Jamaa wa Rwanda... ndio mpango mzima....

 
Acha Uongo wako.Kama una ujasiri wa kudanganya kitu ambacho kila mtu alisikia ni mangapi ya siri umedanganya?

Alijibu sawasawa kuwa CHADEMA kina majority kwa kambi ya upinzani ndiyo kikaunda kambi hiyo.

Acha Uongo wako

Ninge shangaa kama usinge changia hapa maana wewe ni janga kwel kweli ata uyu babu akosee wewe kwako ni sawa tu
 
Ninge shangaa kama usinge changia hapa maana wewe ni janga kwel kweli ata uyu babu akosee wewe kwako ni sawa tu

Huyu kijana ni muajiriwa wa familia ya Slaa. Sasa hivi ameachiwa mtoto wa Josephine amlee wakati Josephine yuko Marekani anatalii...
 
Watu wenye uwezo na uzalendo wa kuongoza, na sio watu wanaitia sahihi mikataba mibovu ya kuuza nchi.

Mfano mzuri wa watu hao ambao ni makini kabisa kwenye uongozi ni huu hapa...

Jamaa wa Rwanda... ndio mpango mzima....


Una dalili za mtu asiyejitambua.
 

mleta uzi sijawahi na wala sitarajii kabisa kuja kukuamini , mara zote umesukumwa na mahitaji binafsi ( wengine wanawaiteni buku 7 fc ) , nimeupuuza uzi wako .
 
Acha Uongo wako.Kama una ujasiri wa kudanganya kitu ambacho kila mtu alisikia ni mangapi ya siri umedanganya?

Alijibu sawasawa kuwa CHADEMA kina majority kwa kambi ya upinzani ndiyo kikaunda kambi hiyo.

Acha Uongo wako
Ndugu Ben acha kubishana na uyo mburura kwani sidhani kama lugha iliyotumika katika mahojiano anaifahamu vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…