ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,685
- Thread starter
-
- #221
Bado KADIMA hawajatanabahi? Dr. Slaa alishasema chama chake bado hakijakuwa imara.
Mganga njaa!Hahahahahaha
Opinion polls zinaonyesha kwamba Slaa kwenye interview ya jana wasikilizaji wa kimarekani walimuona kama Job Seeker tu!!! Slaa ameonekana hana ideology anayopigania...
Mbona ana macho MEKUNDU hivyo? Naye kwani anapikia kuni?
Huyu na macho yake mekundu hayo akipita pande zile za Shinyinga, sitaki kubashiri kitakachompata.
Lakini tukumbuke mauji ya VIKONGWE wenye macho mekundu kule Shinyanga kwa tuhuma za UCHAWI. BTW, huyu anatoka kule Sumbawanga kuliko ungua jembe ukabaki mpini!
Dr. Slaa amesema atazitekeleza sera nzuri za CCM kwa vile KADIMA siyo imara.Huyu jamaa 'alilia' sana bungeni wakati fulani...
Sasa ndio najua kwa nini jamaa 'alimwaga' machozi bungeni..
Yalikuwa ni machozi ya mamba...huku 'akitafuna' mshahara wa ukweli....Wakati hospitali na shule zetu ziko 'hoi' kwa kukosa fedha..!!!
Copy: ZeMarcopolo na FaizaFoxy.
Huyu jamaa 'alilia' sana bungeni wakati fulani...
Sasa ndio najua kwa nini jamaa 'alimwaga' machozi bungeni..
Yalikuwa ni machozi ya mamba...huku 'akitafuna' mshahara wa ukweli....Wakati hospitali na shule zetu ziko 'hoi' kwa kukosa fedha..!!!
Copy: ZeMarcopolo na FaizaFoxy.
Dr. Slaa amesema atazitekeleza sera nzuri za CCM kwa vile KADIMA siyo imara.
Mleta hoja huna jambo lolote unalotaka tujadili bila bias,unataka kutuaminisha upuuzi wote huu,mbona wengi pia tumesikiliza?,be fair hata kama hupendi,utaendelea kuwa mtumwa hadi siku yako ya mwisho
mbona hiyo kwake kawaida sana, kumbuka pia hivisasa anamatatizo ya uzee. ukiacha hayo pia ubavu wake haumshauli vizuri kazi yao ni kulumbana tu. pia babu amegundua Jose na kaka yake wanaajenda ya siri "Ben saanane" ndiomaana mda mwingi amekuwa na jazba.
Hakusema sera za CCM nzuri. Nimesikiliza mahojiano yote.
Zenaecopolo kawadanganya, na ninyi mnakubali tu.
Yeye ZeMarcopolo nia yake ni kusahaulisha wa-Tanzania kuhusu malipo makubwa ya waziri mkuu wetu.
Hivyo kaanzisha thread hii yenye kupotosha.
Mbinu kama hizi zinaitwa 'political diversion'...
Upo hapo..???
Swala zima hapa TZ ni kujiuliza, vipi uchumi mbovu sana wakati 'wenzetu' akina 'Million 26' wanatanua 'mbaya' ..!!!
Jiulize, kwa nini wewe unalipwa sh. elfu saba tu kwa siku (210,000 kwa mwezi..!!) kwa ajira ya JF, wakati jamaa 'anavuta' sh. 26 million kwa mwezi, halafu anawakaririsha kuwa hali ya uchumi TZ ni mabay..!!!
Upo hapo..????
Copy:-
Mamndenyi, FaizaFoxy na Lizaboni.
Siku ya jana Slaa amedanganya mara nne mbele ya vyombo vya habari.
Kuna uwezekano Slaa ameshakuwa pathological lier...
Mbona ana macho MEKUNDU hivyo? Naye kwani anapikia kuni?
Huyu na macho yake mekundu hayo akipita pande zile za Shinyinga, sitaki kubashiri kitakachompata.
Lakini tukumbuke mauji ya VIKONGWE wenye macho mekundu kule Shinyanga kwa tuhuma za UCHAWI. BTW, huyu anatoka kule Sumbawanga kuliko ungua jembe ukabaki mpini!
Acha ulaghai. Ukiongea kilaghai unaonekana kama Slaa na utajulikana kirahisi tu.
Nenda kwenye thread inayojadili mshahara wa Waziri Mkuu kasome jinsi Zemarcopolo anavyopinga viongozi wa siasa kulipwa mishahara mikubwa...
unaelewa maana ya absolute majority?
Umemsikiliza katibu mkuu wa Kadima?
Tanzania tuko poa tu mambo mazuri ndiyo maana majirani wanakuja kwetu kwenye neemaHakusema sera za CCM nzuri. Nimesikiliza mahojiano yote.
Zenaecopolo kawadanganya, na ninyi mnakubali tu.
Yeye ZeMarcopolo nia yake ni kusahaulisha wa-Tanzania kuhusu malipo makubwa ya waziri mkuu wetu.
Hivyo kaanzisha thread hii yenye kupotosha.
Mbinu kama hizi zinaitwa 'political diversion'...
Upo hapo..???
Swala zima hapa TZ ni kujiuliza, vipi uchumi mbovu sana wakati 'wenzetu' akina 'Million 26' wanatanua 'mbaya' ..!!!
Jiulize, kwa nini wewe unalipwa sh. elfu saba tu kwa siku (210,000 kwa mwezi..!!) kwa ajira ya JF, wakati jamaa 'anavuta' sh. 26 million kwa mwezi, halafu anawakaririsha kuwa hali ya uchumi TZ ni mabay..!!!
Upo hapo..????
Copy:-
Mamndenyi, FaizaFoxy na Lizaboni.
Ipo siku utatamani usingeandika ulichoandika. Time will tell
Pale nimeona comment yako nzuri.
Lakini, nashangaa umegeuka kuwa mpotoshaji sana hapa.
Unachukua 'advantage' ya watu wengi kutosikiliza mahojiano, na unapotosha sana.
Hii inasaidia nini ?? au ndio unapalilia malipo ??
Hivi ukipotosha kuhusu jambo fulani ndio unapata nini ??
In fact, unapotosha kuhusu jina la chama fulani kama vile ni issue yenye tija kwa taifa.
Unapotosha kuhusu mahojiano kama vile Tanzania itafaidika kwa upotoshaji huu.
Unaacha maswala yenye tija kwa nchi kama vile mikataba mibovu, rushwa, ubadhilifu wa mali za nchi, ujangili, umaskini wa wa-Tanzania, n.k.
Badala yake unapoteza muda mwingi sana kutetea bad pronunciations za majina ya vyama fulani, unapandikiza maneno ambayo hayapo kwenye mahijiano hayo ili Tanzania ipate nini..??
Tanzania inapoteza mali zake nyingi sana, inapoteza fedha nyingi sana, umaskini unazidi, wewe na wenzako mko busy kuchochea spelling mistakes za mwandishi fulani (ambaye hata sio Mtanzania) as if zitaleta tija Tanzania.
Comment yako ya jana kwenye ile thread niiona kuwa na maana, ila leo comment zako nyingi zinamshambulia mtu binafsi kama vile mtu huyo ndio anayesababisha hali ngumu na umaskini uliopo Tanzania.
Tanzania tuko poa tu mambo mazuri ndiyo maana majirani wanakuja kwetu kwenye neema
Kwa mujibu wa takwimu za shirika la kazi duniani ILO na shirika la UNDP
Ugiriki matatizo ya ajira ni 92%
Spain matatizo ya ajira ni 55%
Italia matatizo ya ajira ni 38%
S.Afica matatizo ya ajira ni 40%
Kenya matatizo ya ajira ni 40%
- Vijana waoajiriwa ni 9,056,217 sawa na %80.6 ya vijana nguvu kazi yote ya vijana waliostahili kuajiriwa kwenye sekta rasmi na isiyo rasmi.
Ndiyo maana KADIMA itaiga sera za CCM by Dr. Slaa