Unajua pesa ya Tanzania inatengenezwa wapi?

View attachment 3319531

Najua watu wengi walikua wanajiuliza sana Pesa ya Tanzania inatengenezwa wapi ? Ni maswali ambayo mimi na wewe tulia tunajiuliza sana? Je Tanzania Ina kiwanda cha kutengeneza pesa zake ??

View attachment 3319532

Maswali yote Leo utaweza kupata majibu yake kwa ufupi TU kupitia makala hii 😋, kwanza inapaswa kujua Pesa huwa azitengenezwi nchi moja TU hutengenezwa kupitia nchi mbalimbali hapa Duniani.

View attachment 3319533

Pesa zinatengenezwa kwenye nchi zilizoendelea kama vile Marekani, Ujerumani, Ufaransa, Uswizi, Saudi Arabia, Sweden na Uingereza. Ila kwa upande wa Afrika nchi zinazotengeneza pesa ziko Saba pekee
• misri
• Morocco
• Nigeria
• Ghana
• South Africa
• Ethiopia na Zimbabwe ilikuwepo lakini baadae ilizuiliwa kutokana na sheria maalum za kimataifa zinazo husika na taratibu za kumiliki kiwanda cha kutengeneza pesa.

View attachment 3319534

Nchini Kenya kuna kiwanda cha kutengeneza pesa lakini sio Cha Kenya ni Cha nchi toka Uingereza kwaiyo Kenya kipo kama Tawi kwa upande wa Afrika mashariki.

View attachment 3319535

Je pesa ya Tanzania inatengenezwa wapi sasa ?? Pesa ya Tanzania kamwe haitengenezwi nchini Tanzania mwanzoni baada ya uhuru ilikua inatengenezwa Nchini Uingereza kuanzia sarafu na Noti ambapo serikali ya Tanzania ilikua inaipa Tenda nchi ya Uingereza.

View attachment 3319536

Kwa sasa pesa za Tanzania haitengenezwi Tena Uingereza isipokuwa Ujerumani ndio inatengeneza pesa Za TANZANIA aina ya Noti ambazo ni;
⚡ ELFU KUMI
⚡ ELFU TANO

Wakati nchi ya Sweden inatengeneza Pesa za nchi ya Tanzania ambapo kuanzia NOTI na SARAFU;
⚡ ELFU MBILI

⚡ELFU MOJA
⚡SARAFU

Ulikua unajua hii au lah tuachie maoni yako??
yaani hii makala utajua ni ya kichaa tu

noti na sarafu unazoona ni 5% ya pesa inayozunguka nchini

95% ni electronic money

Electronic money inajengwa kwa physical security module iliyounganishwa na computer/server yenye ledger maalumu unique kwenye taifa husika

zinatoka kama tokens na ni machine to machine hakuna mwanadamu katikati anaeweza kudecipher those token keys with public and private keys

pesa zinaprintiwa literally from the thin air benki kuu kutokana na uhitaji wa public....

hela inatoka tu iwapo kuna mwanadamu ametoka jasho uzalishaji umefanyika,bila hivyo hela haitoki
 
Niko kusubiri majibu hapa.
Pesa ni namba au ni zile namba za pembeni

Mfano....unaweza kujiongezea sifuri kwenye mpesa yako ukiwa kama mfanyakazi kitengo nyeti cha fedha,...?

Basi ukiweza hilo utakuwa kuna sehemu umepunguza sifuri .
 
View attachment 3319531

Najua watu wengi walikua wanajiuliza sana Pesa ya Tanzania inatengenezwa wapi ? Ni maswali ambayo mimi na wewe tulia tunajiuliza sana? Je Tanzania Ina kiwanda cha kutengeneza pesa zake ??

View attachment 3319532

Maswali yote Leo utaweza kupata majibu yake kwa ufupi TU kupitia makala hii 😋, kwanza inapaswa kujua Pesa huwa azitengenezwi nchi moja TU hutengenezwa kupitia nchi mbalimbali hapa Duniani.

View attachment 3319533

Pesa zinatengenezwa kwenye nchi zilizoendelea kama vile Marekani, Ujerumani, Ufaransa, Uswizi, Saudi Arabia, Sweden na Uingereza. Ila kwa upande wa Afrika nchi zinazotengeneza pesa ziko Saba pekee
• misri
• Morocco
• Nigeria
• Ghana
• South Africa
• Ethiopia na Zimbabwe ilikuwepo lakini baadae ilizuiliwa kutokana na sheria maalum za kimataifa zinazo husika na taratibu za kumiliki kiwanda cha kutengeneza pesa.

View attachment 3319534

Nchini Kenya kuna kiwanda cha kutengeneza pesa lakini sio Cha Kenya ni Cha nchi toka Uingereza kwaiyo Kenya kipo kama Tawi kwa upande wa Afrika mashariki.

View attachment 3319535

Je pesa ya Tanzania inatengenezwa wapi sasa ?? Pesa ya Tanzania kamwe haitengenezwi nchini Tanzania mwanzoni baada ya uhuru ilikua inatengenezwa Nchini Uingereza kuanzia sarafu na Noti ambapo serikali ya Tanzania ilikua inaipa Tenda nchi ya Uingereza.

View attachment 3319536

Kwa sasa pesa za Tanzania haitengenezwi Tena Uingereza isipokuwa Ujerumani ndio inatengeneza pesa Za TANZANIA aina ya Noti ambazo ni;
⚡ ELFU KUMI
⚡ ELFU TANO

Wakati nchi ya Sweden inatengeneza Pesa za nchi ya Tanzania ambapo kuanzia NOTI na SARAFU;
⚡ ELFU MBILI

⚡ELFU MOJA
⚡SARAFU

Ulikua unajua hii au lah tuachie maoni yako??
Nilikuwa sijui hili, Leo nimepata kujua
 
Pesa ni namba au ni zile namba za pembeni

Mfano....unaweza kujiongezea sifuri kwenye mpesa yako ukiwa kama mfanyakazi kitengo nyeti cha fedha,...?

Basi ukiweza hilo utakuwa kuna sehemu umepunguza sifuri .
Hata hujaeleweka bado.
 
Hizo zinakua kama hela feki tu, maana BOT hela zote zilizoingia mtaani serial number zake wanazo. zikifichwa zitakua hazipo kwenye database yao so are not valid.
Je ikifika tenda, wakatengeneza nyingi, zingine wakaweka sehemu, kusubiri tenda ingine, inakuaje hapo?
 
Sheria ipi? Na inawabana vipi? Na hizo wanazolipwa zinatoka wapi? Ikiwa wao ndo wanatengeneza?

Fafanua zaidi.
Ninavyojua pesa mpaka ikamilike kwa mwatumizi na kuwa na thamani halisi ni lazima pia ipite bank kuu kufanyiwa "manyuvaa" flan flan
 
Je km kiwanda kimeambiwa watengeneze Tri 3, afu wao wakatengeneza tri 5, 2 wakaficha sehemu, watoa tenda watajuaje? Lol
😂😂😂😂😂
Kuna safeguards za hali ya juu kuzuia mambo kama hayo ndio maana sio kila nchi ina uwezo wa kuchapisha pesa
 
Back
Top Bottom