Unajua pesa ya Tanzania inatengenezwa wapi?

Mimi na kusahihisha ,tangu kuanzishwa kwa TPSC(Tanzania printing security company )mwaka 2015,kwa kushirikiana na DERA RUE ambayo ni kampuni kutoka uingereza.kwa sasa Tanzania inachapisha noti zake mwenyewe isipokua elfu kumi ambayo inashapishwa Ujerumani chini ya kampuni ya GIESECKE+DEVRIENT.hivyo basi Tanzania inachapisha noti zake mwenyewe kuanzia mwaka2018
 
Je ikifika tenda, wakatengeneza nyingi, zingine wakaweka sehemu, kusubiri tenda ingine, inakuaje hapo?
Nchi yetu haina kiwanda cha kutengeneza pesa, hela zikitengenezwa nje ni lazima ziletwe kwetu kuingizwa kwenye mzunguko.
Benki kuu wanakua wanayo list ya hela zote walizopokea tokea kiwandani na walizo release kwenye circulation , wanachofanya ni kuangalia suspected notes kama washawai kuzipokea na wamezipeleka uraiani.
Naomba nisahihishe kama nimeelewa swali lako
 
Wapumbavu wa Sweden hawa wameshindwa kututengenezea noti za buku imara kama Scania wanatuletea noti zinachoka haraka kma howo
 
Hayo ni makalatasi yaliyopewa nguvu na wakoloni pesa za kweli ni dhahabu na fedha huo ndio mpango wa mungu haya mengine na utapeli tu embu tuangalia hapa mfano dollar ndani yake kuna kitu gani cha dhamani si karatassi tu km makaratasi mengine ni bora ingekuwa zinaongezewa samani hata na madini basi
Kwahyo mungu ameshindwa kusimania mpango wake? Au ndo kazdiwa ujanja na waingereza
 
Nchi yetu haina kiwanda cha kutengeneza pesa, hela zikitengenezwa nje ni lazima ziletwe kwetu kuingizwa kwenye mzunguko.
Benki kuu wanakua wanayo list ya hela zote walizopokea tokea kiwandani na walizo release kwenye circulation , wanachofanya ni kuangalia suspected notes kama washawai kuzipokea na wamezipeleka uraiani.
Naomba nisahihishe kama nimeelewa swali lako
Kiwanda kipo (TPSC)kilianzishwa mwaka 2015 na kuanza kufanya kazi 2018 kwa kushirikiana na kampuni ya DERA RUE ya uingereza,ila kinashapisha noti zote kasoro elfu kumi yenyewe inashapishwa Ujerumani chini ya kampuni ya GIESECKE & DEVRIENT
 
Kuna uzi humu JF ilishajadiliwa hii mada kuna jamaa alikuwa anashusha madini maswali yote yaliyoulizwa humu na cocastic aliyajibu kiufasaha kabisaa

Huo hapo
 
Ata mm huwa najiulizaga hivi kama rais analipwa je anaemlipa analipwa na Nani?

Kwa upande WA pesa lazima utengeneze kiwango Fulani maana Kila Mtu akiwa na Pesa,Pesa itakuwa haina maana tenah...

Pesa ya ziada wao Naamini wanajitengenezea Ndio maana kiuchumi sio rahisi kuwaporomosha ...
Kwa hiyo hujui Rais analipwa na nani mkuu?
 
Nchi yetu haina kiwanda cha kutengeneza pesa, hela zikitengenezwa nje ni lazima ziletwe kwetu kuingizwa kwenye mzunguko.
Benki kuu wanakua wanayo list ya hela zote walizopokea tokea kiwandani na walizo release kwenye circulation , wanachofanya ni kuangalia suspected notes kama washawai kuzipokea na wamezipeleka uraiani.
Naomba nisahihishe kama nimeelewa swali lako
Yaan watajuaje hii pesa haiko ktk circulation ya BOT, na akati huo iko mtaani? Au raia atajuaje hii hela haiko ktk mfumo wa mzunguko wa mauzo nchini? Fafanua tena.
 
Mimi na wewe hatuwezi kuzitofautisha na ni pesa halali, ni kama utakatishaji wa pesa, zile pesa ni halali kwetu ila kwa serikali ni haramu.

Sio rahisi kuingiza noti za billioni mia mtaani achana na hizo trillions ni lazima zitaleta noticeable effect kwenye uchumi which will trigger suspicions. Hapo ndio BOT wanaweza shirikiana na mabenki kucheki serial number za noti zilizokua deposited kwao, zile ambazo serial number zoke hazipo kwenye database ya BOT zitaanza kua traced zilipotokea.

Kama unaujua ule mkasa wa D. B. Cooper ambaye ali hijack ndege na kudai pesa na kupewa pesa ambazo serial number zake zimerekodiwa na kupotea nazo. Hapo utaona jinsi FBI walivyokua wakijaribu ku trace zile notes kama zimeingizwa kwenye mzunguko sehemu yeyote.
 
Bado napata mushkeli kuelewa hili, nafikiri umezungumzia kiasi kikubwa cha pesa, ila unakubaliana na mie inawezekana kiwanda kutengeneza pesa nyingi kuliko tenda, na pesa hizo zikatumika ktk mzunguko wa mauzo km kawaida? Achilia hilo la utakatishaji?
 
Gharama ya kutengeneza elfu 10 ni Tsh ngapi? Kihasibu inatakiwa isizidi Tsh 100.
 
Back
Top Bottom