Unajua pesa ya Tanzania inatengenezwa wapi?

Unajua pesa ya Tanzania inatengenezwa wapi?

Sheria ipi? Na inawabana vipi? Na hizo wanazolipwa zinatoka wapi? Ikiwa wao ndo wanatengeneza?

Fafanua zaidi.
Huko kwao serikali ina akaunti ya currency ya kwao ndio huwa tunawalipa kwa njia hio...
(Sina uhakika..he he heeee)
 
Mm maana yangu kwa Sisi nchi zinazoendelea tukitaka trillion 5 watatengeneza labdah 5 na usheee(Io ya emergency)

Nimelenga wao wakitengeneza wanaweza Sema wanatengeneza 7 ila wanatengeneza 9(nyingine wanaficha ) Ndio maana hawatetereki
Wanatengeneza ila zinapitishwa kwa gavana wa nchi husika kupigwa ile saini yake so hawawezi kuzidisha coz watakosa sign
 
Nilisomaga mahali kuwa Sudani nao wanaprint zao wenyewe
 
Pesa inatengenezwa kwa Kazi na Ubinifu.
Hivyo viwanda havitengenezi pesa, vina chapa pesa!
 
Je km kiwanda kimeambiwa watengeneze Tri 3, afu wao wakatengeneza tri 5, 2 wakaficha sehemu, watoa tenda watajuaje? Lol
😂😂😂😂😂
Hizo zilizozidi zitakuw ni makaratasi tu kwa kuwa Hazijawa legalized
 
Huko kwao serikali ina akaunti ya currency ya kwao ndio huwa tunawalipa kwa njia hio...
(Sina uhakika..he he heeee)
Sasa hizo pesa za malipo zinatoka wapi? Ikiwa ndo ziko ktk matengenezo. Lol
 
Back
Top Bottom