The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,251
- 20,486
Mm maana yangu kwa Sisi nchi zinazoendelea tukitaka trillion 5 watatengeneza labdah 5 na usheee(Io ya emergency)Je km kiwanda kimeambiwa watengeneze Tri 3, afu wao wakatengeneza tri 5, 2 wakaficha sehemu, watoa tenda watajuaje? Lol
😂😂😂😂😂
Para ya 2 ndo inaunga mkono hoja yangu.Mm maana yangu kwa Sisi nchi zinazoendelea tukitaka trillion 5 watatengeneza labdah 5 na usheee(Io ya emergency)
Nimelenga wao wakitengeneza wanaweza Sema wanatengeneza 7 ila wanatengeneza 9(nyingine wanaficha ) Ndio maana hawatetereki
Unataka kujua? Njoo basi faraghani ukalie kitu kigumu kilichonyooka chenye ncha laini.Je km kiwanda kimeambiwa watengeneze Tri 3, afu wao wakatengeneza tri 5, 2 wakaficha sehemu, watoa tenda watajuaje? Lol
😂😂😂😂😂
Mkuu tunakopeshwa doller hatukukopeshwi shilingi.Mkoloni anayetukopesha ndio huyo huyo anatutengenezea na pesa.
Unaweza kuta anakukopesha alizotengeneza kiwandani kwako😀😀
Njoo bas babe am serious. I won't pull off for along time. Wote tukipiga yowe la hatarii na Laana maamee.Nawee unacho? Ukute kimepinda km mkongojo wa mzee wasira, Lol.
😂😂😂😂😂
Wataalamu wa uchumi wanahitajika upesi hapa kabla mambo hayajaharibika.Je km kiwanda kimeambiwa watengeneze Tri 3, afu wao wakatengeneza tri 5, 2 wakaficha sehemu, watoa tenda watajuaje? Lol
😂😂😂😂😂
Wataalamu wa uchumi mnahitajika upesi kuweka mambo sawa.Mkoloni anayetukopesha ndio huyo huyo anatutengenezea na pesa.
Unaweza kuta anakukopesha alizotengeneza kiwandani kwako😀😀
Hakika kabisaa.Wataalamu wa uchumi wanahitajika upesi hapa kabla mambo hayajaharibika.
Halafu baada ya kila mtu kugawiwa zake siku inayofuata chapati ya sh 500 itakua 7,500tuko milion 60 sasa c wafyatue nyingi kwakuanza maisha kila mtanzania apate angalau milion 100
Kwa kauli ya Rais hizo kadi za chama kutoka wapi? na zinarudi kwa nani?Teknolojia.........
Nikiupata nitakutag kuna kipindi niliutafuta sana nikaukosa sijui hawa mods wameufutaKanitag ktk huo uzi, nataka niwe na ufahamu zaidi kuhusu hili.