Unajua pesa ya Tanzania inatengenezwa wapi?

Hao printers wanajua kias sahihi cha kuprint hizo pesa kadri ya tenda?
TEnda wanapewa uswisi,wanatengeneza kulingana na tenda waliopewa,kisha pesa hiyo inaletwa na saini za viongozi zinaprintiwa huku
 
Pesa inatengenezwa German, hizo pesa zinakuja zikiwa zina saini au laah? Km ndyo je wao wanajuaje km zilizoletwa ku printiwa ni kias sahihi kadri ya tenda, ?
 
pesa haziji na saini mkuu
 
Kumbe, Sasa mbona tunateseka hivyo wakati mh anaweza akaamua kutubless kila mtanzania mapesa ya kutisha..
Mambo ya songesha yasingekuwepo
 
Sheria ipi? Na inawabana vipi? Na hizo wanazolipwa zinatoka wapi? Ikiwa wao ndo wanatengeneza?

Fafanua zaidi.
Wanapewa kiwango cha noti cha kutengeneza na wanapewa Kodi namba pia. Kwa iyo mzigo ukifika ambao hauna kodi namba. Unamfata alipewa tenda kuhusu serial namba ya pesa ambayo haipo ktk record ndio apo mnapoanza kubanana umetengeneza yenye serial namba zaidi apo zikifika zinaingiza ktk mashine na kuwekewa record na scanning ya kujua kuna kiwango gani cha iyo sarafu iliyoingia
 
Bado sijaelewa.
 
Back
Top Bottom