Unajua kwanini wanawake wanapenda wanaume wachaMungu?

Wanaume wacha Mungu wanapewa ratiba ya 1×1 kwa wiki na wanaifuata kinyonge 😀
 
Ukilipenda ua; utalimwagilizia lizidi kuchanua. Ila ukilitamani ua, basi utalichuma ukae nalo ili shina na mizizi ife.

Mkuu, wanawake hutamani kile walichonacho wanaume na hukitumbua mpaka mwanaume anabaki mtupu. Anazeeka kwa upweke na ukiwa. Mwishowe hufa.

Wanaume walioshtuka mapema huwaepuka kwa namna yoyote.
Hizi propaganda mfu mnazitoa wapi lakini!! Tunavyowapenda, kuwajali, kuwathamini, kuwafariji, kuwatia moyo na kuwaombea, bado tu mnaona hatuwapendi🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Wanawake wanapenda wanaume wachamungu na wafia dini ili akikunyima unyumba usiweze kuchepuka maana ni dhambi

Mwanaume mwenzangu ulieoa stuka! Shauri yako
Kwahiyo skuizi wanawake hawapendi hela tena mkuu....🤔
 
Mmh wanaume wachamungu acheni uongo jamani, mbona hampendwi.....
Actually wanawake wanapenda ma bad boys sababu hawa good boys hawako fun kabisaaa ndio mana ni rahis kwa mwanaume malaya upate mwanamke wa kusali sali kuliko mlokole mwenzie
 
Bad boys wanatongoza tongoza na hawaoni aibu tofauti na nice boy aibu nyingi atapataje piss kali bila kutongoza

Huwa wanakubali tu ila kiuhalisia wanatamani sana kupata wachamungu waolewe nao
 
Tatizo la wachamungu hawako fun kabisa mfano wanawake wanapendaga souvenir na hii ndio itakudistigush amongst others sasa hawa wakusali sali hawanaga udambwi udambwi kwenye mapenz ndio mana wanawake wacha mungu wanawakimbia, kuna mshikaji wangu yeye mfano akiwa kwenye sita kwa sita kumtoa mwanamke kinasa alafu akavaa kichwani kama kofia huku mambo mengine yanaendelea sio tatizo kwake....
 
Wanawake wanapenda wanaume wachamungu na wafia dini ili akikunyima unyumba usiweze kuchepuka maana ni dhambi

Mwanaume mwenzangu ulieoa stuka! Shauri yako
Uhakika wacha mungu ni rahisi sana kugeuzwa ndondocha na wake zao.
 
Tatizo la wachamungu hawako fun kabisa mfano wanawake wanapendaga souvenir na hii ndio itakudistigush amongst others sasa hawa wakusali sali hawanaga udambwi udambwi kwenye mapenz ndio mana wanawake wacha mungu wanawakimbia, kuna mshikaji wangu yeye mfano akiwa kwenye sita kwa sita kumtoa mwanamke kinasa alafu akavaa kichwani kama kofia huku mambo mengine yanaendelea sio tatizo kwake....
Wanataka udambwi dambwi wakiwa nje ya ndoa lakini wakihitaji kuolewa wanataka wachamungu wanini sasa
 
Ntamuuliza shida ni nn ? kwa siku ya kwanza unaweza tulia uone, lkn sio mara kwa mara me namtimua na ni kitu ambacho sitaki kushauriwa, huyo anayemtunzia aendelee,
Utapewa kimoja kwa tabu sana na style ya missionary upunguze kamdomo
 
Back
Top Bottom