from dictionaryHey tuache kuongea sana, some body have to define what is IQ kwanza then mengine shuld come later
siku hizi ulimwengu tunataka tuwe tuna quantify kila kitu kuanzia upendo, chuki, woga, usafi, unafiki, uchawi, upako yaani tuwe tunasema john ana uvivu mbili au bakari anausafi nne au mtu aseme yaani mke wangu unanipenda tatu tu wakati mi nakupenda saba .....etc (am joking)uwezo wa mtu kufikiri na tutatua mambo ndo unaweza ita IQ kwan hii ki2 ni intangble mathematical case angalia ndani ya familia yako na nani mnaempa majukum sana mkiacha wazazi ukimpata katka watoto huyo ndo mwenye IQ kubwa
vp kuhusiana na vigezo vingne vya IQ kama mazingira haviwezi kuchangia kuongezeka au kupungua.
mkuu mshawa sio kila mtu anayeweka post za saikoloji basi anasomea hayo mambo, mi nasoma saikoloji just for fun, so far nimesoma kitabu kimoja cha introduction to psychology na cha pili abnormal psychology cha Robin Rosenberg niko page ya 100.
Haahaaahaaa safi sana! Wewe naamini IQ yako ipo nyuzi joto 666 katika kipimo cha richa chenye kipeo cha tatu nyuma ya witiri mbele ya tasa!Mwanangu ana mwaka mmoja na miezi miwili. Maneno yake ya kwanza ameanza kuita baba,halafu mama, mbaya zaidi neno la tatu amejua neno "sitaki" likifuatiwa na kusonya anapotaka kubebwa na mtu mwingine. Sasa niambieni IQ yake, ya kwangu msipate nayo shida maana mimi najijua ni mzigo tu. kulala kwenyewe mpk nilewe na nimbandue nyumba ndogo ndo napata usingizi. KISHA MNISHAURI CHA KUFANYA
Wewe unajiona unaelewa inawezekana huelewi. Inaonyesha hufahamu rhetoric question wala the Socratic method.
Hujajibu swali. IQ ni nini? Mie nina uwezo si tu wa ku google, nakaa kuzungumza haya mambo na professionals wanao subscribe kwenye professional journals za brain science na psychology. Watu wanafanya PhD level research.Kwa hiyo nikikuuliza wewe si lazima iwe kwa sababu sijui, nataka kufahamu unavyofahamu wewe ili tu discuss vizuri zaidi.
IQ si kipimo cha intelligence, na huwezi kuongelea kipimo cha intelligence wakati hata huja define intelligence ni nini.
Hatutaki habari za kukariri "Area of a cycle equals pi times radius squared" ukiulizwa pi ni nini hujui, unasema ni formula niliyopewa, imetoka wapi? Unajibu nyuma ya daftari.
Kama hii kweli ni intelligence forum lazima tuchunguze mambo deeply, sio kuchukua mambo tu kwa sababu tumepewa formula nyuma ya daftari.