unajua IQ ya mtu inatafutwaje?

mkuu mshawa sio kila mtu anayeweka post za saikoloji basi anasomea hayo mambo, mi nasoma saikoloji just for fun, so far nimesoma kitabu kimoja cha introduction to psychology na cha pili abnormal psychology cha Robin Rosenberg niko page ya 100.
 
Kama nilivyosema mwanzo, Socratic method ni muhimu kwa sababu mie siko hapa kuwa mwalimu wako, wote tunaeleweshana.

Sasa wewe usivyonielewesha unavyoelewa na mie naweza kuingia katika mtego wa kufikiri nakufundisha kumbe unajua.

Maswali ni muhimu, na unapoona maswali ni ya "kimitegomitego" ni kwa sababu hujajua nature halisi ya maswali, kuufunua zaidi ukweli na wala si kutegana nani anajua zaidi.
naona jukwaa ni mahala pazuri pa kujifunza, mwanzoni sikuzijua hizo socratic na rhetoric methods nahisi kwa vile zimekaa kiphilosoph zaidi kuliko psychology (am i rationalizing?). the good thing is atleast now i know what socratic and rhetoric methods are especially the balance btn eloquence and wise silence.
 
tatizo hata hesabu rahisi mnataka kukimbia! hebu kazeni vichwa mtaelewa. halafu mkitaka niwaeleze zaidi ya hapo mtaishia kunitukana! halafu king kong hayo maelezo sijayatoa kwa mtu ambae haelewi kabisa
sasa kama mimi nina miaka 25 nitajijuaje nafanya mambo ya miaka 35 ili nijue IQ yangu iko juu? nadhani kungekuwa na jedwali pia mtuoneshe ni mambo gani yanatarajiwa kwenye umri gani!
 
ningekuona una akili ungeongezea hayo unayojua kwenye huu uzi ili uwe na faida zaidi, we unakuja na maswali ya kimitegomitego,mamisamiati na jinsi unavyoongea na akina pavlov na skinner kana kwamba tunashindana. halafu kuhusu watu wa amazon nilishasema setting ya test hutegemea mazingira.

Topic nzuri lakini inaoneka una short temper mkuu''unamjua unayebishana naye?
 
Unajuavipi kama hili jambo ni la mtu wa miaka 10 na hili ni la wa miaka 20??? Kilimo? unyumba??? umenichanganya ngoja nikapumzike kwenye vimbweta
hii inategemea na culture kwa mfano katika tamaduni za wavuvi wanategemea mtu akifika miaka fulani awe anajua aina kadhaa za samaki labda miaka mitano anajua kumi, miaka kumi anajua ishirini sasa ukiwa na miaka kumi na unajua aina kumi tu basi mental age yako ni miaka mitano.
mfano mwingine labda wayahudi wanajifunza torati waseme ukiwa na miaka 10 uwe unajua sura 20 na ukiwa na miaka 15 uwe unajua sura 50 sasa wewe una miaka 10 na unajua sura 50 maana yake IQ yako ni kubwa hapo nime tolea mfano wkitu kimoja kimoja lakini vinakuwa vingi na kutafutiwa average. uuuuh!
 
IQ si kipimo cha intelligence, na huwezi kuongelea kipimo cha intelligence wakati hata huja define intelligence ni nini.

Hatutaki habari za kukariri "Area of a cycle equals pi times radius squared" ukiulizwa pi ni nini hujui, unasema ni formula niliyopewa, imetoka wapi? Unajibu nyuma ya daftari.

Kama hii kweli ni intelligence forum lazima tuchunguze mambo deeply, sio kuchukua mambo tu kwa sababu tumepewa formula nyuma ya daftari.

Hiyo kwenye red imenichekesha sana! Lkn huo ndio ukweli; hasa kwa wanafunzi wa siku hizi, wamekaa ki-twishen twishen tu. Sijui hata km wanajua maana ya tuition.
 
Haijatulia kwa kuwa siwezi kujijua nafanya vitu vya mtu wa miaka mingapi
 
And I can add creativity to that.

Nilipoanza kusoma mada, hiki (in red) ndicho kitu cha kwanza kilicho-click in my mind. I think the IQ thing is heading for the grave these days, for it's regarded as a childish play. People talk more about brainstorming -- creativity -- nowadays.
 
Nilipoanza kusoma mada, hiki (in red) ndicho kitu cha kwanza kilicho-click in my mind. I think the IQ thing is heading for the grave these days, for it's regarded as a childish play. People talk more about brainstorming -- creativity -- nowadays.
sure inapotea siku hizi haitumiki sana, ilitumika sana kipindi cha WW2 katika kuchagua maofisa wa jeshi lakini kwa upande wangu siioni tofauti sana na hii mitihani inayotumika kujaji uelewa wa watu hasa huku Africa unafikiri imebase kwenye creativity au ni kama ishu ya IQ.
 
a child of 4th Grade performed correctly the grade six algebra, assume the enrollment age in Tanzanian schools is 7 yrs!
now calculate 1. child's mental age
2. child's chronological age
3. his IQ
 
a child of 4th Grade performed correctly the grade six algebra, assume the enrollment age in Tanzanian schools is 7 yrs!
now calculate 1. child's mental age
2. child's chronological age
3. his IQ
mental age 7+6=13
chronological 7+4=11
IQ score 13/11*100=118
am i right?
 
mental age 7+6=13
chronological 7+4=11
IQ score 13/11*100=118
am i right?

kumbe umekariri kijana, ya nakupa another chance jaribu tena swali! kwa kushindwa swali rahisi kama hilo tayari nishajua hata wewe IQ yako ikoje
 
thanks for another chance
mental age 7+5=12
chronological age 7+3=10
IQ 12/10*100=120
zaidi ya hapo nikupe mji.
 
Back
Top Bottom