unajua IQ ya mtu inatafutwaje?

Mental age/Umri wa Akili hupimwa kwa uwezo wa kiutendaji wa ubongo wa mtu. Kama mtu wa miaka 15 anaweza kufikiri, kutatua tatizo na kutenda kazi ambayo ingefanywa na mtu wa miaka 20 basi Umri wake wa akili/ Mental age ni miaka 20 na Umri wake wa kuzaliwa/ Chronological age ni miaka 15. Kiurahisi zaidi mtoto wa darasa la kwanza mwenye umri wa miaka 7 (chronological age) akipewa hesabu za mtoto wa darasa la tatu mwenye miaka 9 na akaziweza vizuri basi mtoto huyu wa miaka 7 atapewa daraja la Umri wa akili/mental age ya miaka 9. Hivyo Ukichukua Mental age (Umri wa akili) ukagawa kwa Umri wa Kuzaliwa (Chronological age) kisha ukazidisha kwa 100 jibu lako litakuwa kati ya makundi haya hapa chini: Jipime
Grade Range Percent
Genius/Kipaji maalumu/Uwezo usio wa kawaida:144 >.
Gifted/Uwezo wa juu sana:130-144.
Above average/Uwezo wa juu: 115-129.
Higher average/Wastani: 100-114.
Lower average/Wastani wa chini: 85-99.
Below average/uwezo duni: 70-84
Borderline low/Taahira kiasi: 55-69.
Low/mtindio wa ubongo <55
uko juu sana.nakupa zoezi la kukokoto iq ya nape mnauye!
 
uko juu sana.nakupa zoezi la kukokoto iq ya nape mnauye!

nipe UMRI wake wa Kuzaliwa (Chronological age). kisha tutapima umri wake wa akili (mental age) kupitia matendo yake, mazungumzo yake na uwezo wake na kuchambua masuala, matukio na kutatua matatizo. then tutatumia formula yetu kujua IQ yake!
 
And I can add creativity to that.

And is a despot malevolent manipulating dicactor who siphon off his poor country's resources to a foreign bank, only to die and leave the billions unaccessible, intelligent or not?

If you say he is not intelligent, how could he manipulate all those millions for so long


Mkuu hiyo creativity mi ndiyo naipenda zaidi coz naamini huwezi kuwa creative kama sio intelligent!
I wish one day nikukutanishe na mtoto wangu wa kiume...he is below 10yrs but I want to groom him into intelligence and I can (I want to be my own Harvard,Yale and MIT to him). Nasema hivyo coz when ever I read your posts I see "something"! HONGERA!
 
nipe UMRI wake wa Kuzaliwa (Chronological age). kisha tutapima umri wake wa akili (mental age) kupitia matendo yake, mazungumzo yake na uwezo wake na kuchambua masuala, matukio na kutatua matatizo. then tutatumia formula yetu kujua IQ yake!

nape nnauye ana miaka 34.
 
swali zuri, hapa yanasetiwa maswali mbalimbali kuanzia lugha, hesabu, chemsha bongo, perception ya mtu kwa vitu mbalimbali na mengine mengi. lakini wanaconsider vitu kama eeducation level, mazingira ya mtu aliyokulia na. mfano test kwa mtu wa ulaya ni tofauti na wa afrika au asia. au mtu aliyesoma test yake itakuwa tofauti na mtu asiyeenda shule.
nimekupata vyema .Babu yako alijaribiwa kwa kitendawili,."nyumba yangu haina mlango",akakosa jibu.tuchanganulie kimazingira iq yake ikoje
 
nape nnauye ana miaka 34.

Basi kama ana miaka 34, chlonological age yake ni miaka 34, sasa hapa tusaidiane kupima umri wake wa akili kwa kuangalia mambo yafuatayo
1. Je uwezo wake wa kutatua matatizo ni sawa na mtu wa miaka mingapi?
2. Je anapoozungumza, anatumia busara sawa na mtu wa miaka mingapi?
3. Je anapochambua suala au topic, ni sawa na mtu wa umri wa miaka mingapi?
4. Je uwezo wake wa kufikiria na kutenda ni sawa na mtu wa miaka mingapi?
Kwa kifupi tu tupate Uwezo wake wa kufikiri na kutenda, ili tupate UMRI wake wa akili kisha tutumie formula hii:

Intelligence Quotient(IQ)/ Hisa ya akili= (Mental age/Umri wa Akili, divide by/gawa kwa Chronological age/ Umri wa kuzaliwa) jibu utakalopata lizidisha kwa 100. Hapo utakuwa umepata IQ yake.
 
Duuu mimi nacheza kwenye 117( according to me, niko kwenye 30z lakini nna mambo ya 40z). Itabidi siku moja tuchaguwe wana JF kumi! Ambao wako tayari kutupa miaka yao ya ukweli, then tupime uwezo wao(kutokana na michango yao humu ndani) na kuwapa age yake. Tukokotoe tuwape watu hongera zao! Mkuu malila lazma ana 144. Ana heshima, busara na hekima ya hali ya juu!
 
ningekuwa nimekariri ungeona nimecopy mavibomba ya kwenye vitabu, halafu nimeandika kwa kiswahili wakati source ni kiingereza au hujui maana ya kukariri?
hapa umeeleweka sasa kumbe hujakariri bali umetafsiri hahahahahahahahahahahahaha
 
Eti wanasema watu kama nyie ndio IQ zenu ni below 100% aka kilaza!

Wewe unaweza ukawa hujui kwamba hujui na ukajifanya unajua na huyo unayemwambia IQ yake iko below 100 akawa anajua kwamba hajui na akauliza,hapo nani zaidi mkuu?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom