unajua IQ ya mtu inatafutwaje?

Jamani muombeni Dr Ndalichako au Dr mkumbo awapeni desa la hili somo. wao ndio wataalamu wa educational evaluation
 
Jamani muombeni Dr Ndalichako au Dr mkumbo awapeni desa la hili somo. wao ndio wataalamu wa educational evaluation
watanzania kwa kupenda kuomba! huoni tunaunganisha nguvu na shoo inaenda.
 
kwa kutumia google map.
IQ = Iraq.

Mwingine anawaza
IQ = Integrity Quotient

n.k

Hey tuache kuongea sana, some body have to define what is IQ kwanza then mengine shuld come later
from dictionary
IQ (intelligence quotient)-anumber representing a person's reasoning ability
intelligence-the ability to acquire and apply knowledge and skills
 
uwezo wa mtu kufikiri na tutatua mambo ndo unaweza ita IQ kwan hii ki2 ni intangble mathematical case angalia ndani ya familia yako na nani mnaempa majukum sana mkiacha wazazi ukimpata katka watoto huyo ndo mwenye IQ kubwa
 
siku hizi ulimwengu tunataka tuwe tuna quantify kila kitu kuanzia upendo, chuki, woga, usafi, unafiki, uchawi, upako yaani tuwe tunasema john ana uvivu mbili au bakari anausafi nne au mtu aseme yaani mke wangu unanipenda tatu tu wakati mi nakupenda saba .....etc (am joking)
 
tehe tehe tehe hii nyuzi imenichekesha sana, inafaa kuwepo hata kwenye jukwaa la jokes
 
vp kuhusiana na vigezo vingne vya IQ kama mazingira haviwezi kuchangia kuongezeka au kupungua.
 
vp kuhusiana na vigezo vingne vya IQ kama mazingira haviwezi kuchangia kuongezeka au kupungua.

mazingira na urithi ni ki2 kinachomata sm ktk IQ. Km mwanao ana akili lkn mazngra aliyopo hayamsadii kupata uwezo zaid wa kufikiri tegemea mwanao kua mbumbu.
 
Mini nina miaka 26. Ebu nieleze MATENDO ya MTU wa miaka 50 ni yapi zaidi ya Ufisadi...
 
Mwanangu ana mwaka mmoja na miezi miwili. Maneno yake ya kwanza ameanza kuita baba,halafu mama, mbaya zaidi neno la tatu amejua neno "sitaki" likifuatiwa na kusonya anapotaka kubebwa na mtu mwingine. Sasa niambieni IQ yake, ya kwangu msipate nayo shida maana mimi najijua ni mzigo tu. kulala kwenyewe mpk nilewe na nimbandue nyumba ndogo ndo napata usingizi. KISHA MNISHAURI CHA KUFANYA
 
mkuu mshawa sio kila mtu anayeweka post za saikoloji basi anasomea hayo mambo, mi nasoma saikoloji just for fun, so far nimesoma kitabu kimoja cha introduction to psychology na cha pili abnormal psychology cha Robin Rosenberg niko page ya 100.

kwikwiwkwiwiwwwww
kazi kwelikweli
 
Mini nina miaka 26. Ebu nieleze MATENDO ya MTU wa miaka 50 ni yapi zaidi ya Ufisadi...
ufisadi,kuingia mikataba mibovu kama mangungo, kuropoka na kujibizana bila staha. ili kuwafeva inabidi formula tuiinvert!
 
Mwanangu ana mwaka mmoja na miezi miwili. Maneno yake ya kwanza ameanza kuita baba,halafu mama, mbaya zaidi neno la tatu amejua neno "sitaki" likifuatiwa na kusonya anapotaka kubebwa na mtu mwingine. Sasa niambieni IQ yake, ya kwangu msipate nayo shida maana mimi najijua ni mzigo tu. kulala kwenyewe mpk nilewe na nimbandue nyumba ndogo ndo napata usingizi. KISHA MNISHAURI CHA KUFANYA
Haahaaahaaa safi sana! Wewe naamini IQ yako ipo nyuzi joto 666 katika kipimo cha richa chenye kipeo cha tatu nyuma ya witiri mbele ya tasa!
 
Haahaaahaaa safi sana! Wewe naamini IQ yako ipo nyuzi joto 666 katika kipimo cha richa chenye kipeo cha tatu nyuma ya witiri mbele ya tasa!
mkuu hivi namba shufwa ikiwa nyuma tasa interm of volts ni sawa na ngapi?
 
Wewe unajiona unaelewa inawezekana huelewi. Inaonyesha hufahamu rhetoric question wala the Socratic method.

Hujajibu swali. IQ ni nini? Mie nina uwezo si tu wa ku google, nakaa kuzungumza haya mambo na professionals wanao subscribe kwenye professional journals za brain science na psychology. Watu wanafanya PhD level research.Kwa hiyo nikikuuliza wewe si lazima iwe kwa sababu sijui, nataka kufahamu unavyofahamu wewe ili tu discuss vizuri zaidi.

IQ si kipimo cha intelligence, na huwezi kuongelea kipimo cha intelligence wakati hata huja define intelligence ni nini.

Hatutaki habari za kukariri "Area of a cycle equals pi times radius squared" ukiulizwa pi ni nini hujui, unasema ni formula niliyopewa, imetoka wapi? Unajibu nyuma ya daftari.

Kama hii kweli ni intelligence forum lazima tuchunguze mambo deeply, sio kuchukua mambo tu kwa sababu tumepewa formula nyuma ya daftari.

Kiranga una kiranga !ndio nini kumnyonyoa 'mwalimu usiniulize ,sikiliza tu'? nadhani majibu yake yanayofuata yatanyooka!
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom