Eversmilin Gal
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 778
- 269
unafumania text au piicha ambazo mpenzi wako amepiga na mwanamke mwingine katika kudodosa unagundua ni kweli anatembea naye ukimuangalia na wewe tofauti ukiongozana naye wewe ndo mkali unajisikiaje au unafanyaje .kwa upande wangu namdharau mwanaume na huyo mwanamke halafu nawapotezea we unafanyaje halafu ye anaona kapataaaa....