unajisikiaje mwanamke

unajisikiaje mwanamke

Wazo la bachelor hili.Ukishaoa utajua kwanini mtu anakimbilia nyumba ndogo
Hili ni tatizo. Ukiamua kwenda na mwanamke mwingine hakikisha ni mzuri kupita mpenzi au mkeo hata yeye akikundua hawezi sema kitu atabaki aki guna pembeni haaaa mpenzi wangu ana haki hapo kaopowa
 
Da, haya mambo ni magumu kwa kweli. Kwa mwenzako unaweza ona jambo dogo but litakapo kufika wewe ndo unashindwa la kufanya. Pole mdada but kaa na zungumza naye na umwulize kitu gani anapenda mostly toka kwa mwanamke yeyote, then akishakuambia unachukua hatua kukilekebisha.
 
whether mkali au mbaya,wanaume the dont care abt that,kama wewe mkali kwa mwonekano,basi atajisifu akiwa na marafiki zake,pia safari kibao maana unafit kukaa kiti cha mbele.lakini upande wa pili,kifungashio cha nje chaweza kuwa ovyo,ila kilichomo ndani,ni cha high quality.
Mbona bibi yangu aliniambia majina ya bucha ndiyo tofauti?
 
unafumania text au piicha ambazo mpenzi wako amepiga na mwanamke mwingine katika kudodosa unagundua ni kweli anatembea naye ukimuangalia na wewe tofauti ukiongozana naye wewe ndo mkali unajisikiaje au unafanyaje .kwa upande wangu namdharau mwanaume na huyo mwanamke halafu nawapotezea we unafanyaje halafu ye anaona kapataaaa....
watoto warembo hamjui mautundu, jirekebisheni! wanaume hatuangalii sana sura(kwani kila siku harusi), ndani ya 6x6 the game z over. sura nzuri nyuma umepigwa pasi............................
 
Yahitaji uvumilivu,lazima ujiulize maswali mengi sana................ when it comes to love making wenzetu hua wanaangalia mengi na sio uzuri tu.
 
unafumania text au piicha ambazo mpenzi wako amepiga na mwanamke mwingine katika kudodosa unagundua ni kweli anatembea naye ukimuangalia na wewe tofauti ukiongozana naye wewe ndo mkali unajisikiaje au unafanyaje .kwa upande wangu namdharau mwanaume na huyo mwanamke halafu nawapotezea we unafanyaje halafu ye anaona kapataaaa....
sura sio kigezo,huenda wa nje huwa ana squirt
 
Da, haya mambo ni magumu kwa kweli. Kwa mwenzako unaweza ona jambo dogo but litakapo kufika wewe ndo unashindwa la kufanya. Pole mdada but kaa na zungumza naye na umwulize kitu gani anapenda mostly toka kwa mwanamke yeyote, then akishakuambia unachukua hatua kukilekebisha.

i did that.....kumbe anapenda vifiga potabo.......nimeshazaa nimenenepeana, nimeshafanya dayati, jim u name it! sijakonda ng'ooooooooo! sasa natamani nirudishe mazungumzo haya lakini nachelea kusikia kutoka kwake! na pia hata sijajua nimuulize nini haswa! yani sina amani kabisa!!!
 
unafumania text au piicha ambazo mpenzi wako amepiga na mwanamke mwingine katika kudodosa unagundua ni kweli anatembea naye ukimuangalia na wewe tofauti ukiongozana naye wewe ndo mkali unajisikiaje au unafanyaje .kwa upande wangu namdharau mwanaume na huyo mwanamke halafu nawapotezea we unafanyaje halafu ye anaona kapataaaa....

Uzuri, sura, umbo ni kitu kizuri kupata mume au mke. Ila katika ndoa hayo hayaangaliwi, ndipo hapo watu wanaanza kushangaa na kujiuliza kuwa kaacha mume?mkewe mzuriiiiiiii kafuta llile dubwana ambalo halitizamiki hata kwa sura. mara nyingi ndani yake kunakuwa na siri nzito ambayo mtu mwingine aliye nje haweezi ijua. Kwani hujawahi sikia mwanamke wa mbunge / waziri anatembea na muuza mkaa? ni kutokana na manjonjo yake akiwa ktk 6 x 6 unakuta kijana anajituma ile mbaya kiasi anamtoa kamasi mheshimiwa au mkewe.
Pia inawezekana kutokana na wewe kujijua mzuri basi ujishughulish na chochote kwa kuamini una nguzo ya uzuri, Acha hizo jitume, kuwa mbunifu, kama una kauli ya ukali punguza ongea kwa kauli laini, nzuri, jidai ukiwa naye, hata kama unaweza kudeka deka. si unajua wanaume wako kama watoto wananyonya kwa mama zao, wakimaliza wanakuja kunyonya kwetu sisi wake zao so tumia technique za kumlea mtoto atatulia.
 
Wazuri wengi ni drama queen and as far as I know men are allegic with dramaz kwanini asijimuvuzishe kwa yule anaejiona wa kawaida na yuko tayar kuplay part yake as woman
 
unafumania text au piicha ambazo mpenzi wako amepiga na mwanamke mwingine katika kudodosa unagundua ni kweli anatembea naye ukimuangalia na wewe tofauti ukiongozana naye wewe ndo mkali unajisikiaje au unafanyaje .kwa upande wangu namdharau mwanaume na huyo mwanamke halafu nawapotezea we unafanyaje halafu ye anaona kapataaaa....

Suala mapishi...tunajua nyama ni ile ile...lol
 
unafumania text au piicha ambazo mpenzi wako amepiga na mwanamke mwingine katika kudodosa unagundua ni kweli anatembea naye ukimuangalia na wewe tofauti ukiongozana naye wewe ndo mkali unajisikiaje au unafanyaje .kwa upande wangu namdharau mwanaume na huyo mwanamke halafu nawapotezea we unafanyaje halafu ye anaona kapataaaa....

Watu hatuli uzuri wa sura, twala mauzoefu yasiyoboresha unapokula kile chakula
 
Uzuri, sura, umbo ni kitu kizuri kupata mume au mke. Ila katika ndoa hayo hayaangaliwi, ndipo hapo watu wanaanza kushangaa na kujiuliza kuwa kaacha mume?mkewe mzuriiiiiiii kafuta llile dubwana ambalo halitizamiki hata kwa sura. mara nyingi ndani yake kunakuwa na siri nzito ambayo mtu mwingine aliye nje haweezi ijua. Kwani hujawahi sikia mwanamke wa mbunge / waziri anatembea na muuza mkaa? ni kutokana na manjonjo yake akiwa ktk 6 x 6 unakuta kijana anajituma ile mbaya kiasi anamtoa kamasi mheshimiwa au mkewe.
Pia inawezekana kutokana na wewe kujijua mzuri basi ujishughulish na chochote kwa kuamini una nguzo ya uzuri, Acha hizo jitume, kuwa mbunifu, kama una kauli ya ukali punguza ongea kwa kauli laini, nzuri, jidai ukiwa naye, hata kama unaweza kudeka deka. si unajua wanaume wako kama watoto wananyonya kwa mama zao, wakimaliza wanakuja kunyonya kwetu sisi wake zao so tumia technique za kumlea mtoto atatulia.

mh hivi watoto wanaonyonya huwa wanaoa?

aiseeee
 
Wasichana wengi wa siku hizi wakisha jua/ambiwa kuwa wao ni wazuri basi tena wanabweteka! Hata kwenye 6 kwa 6 hawajitumi tena, ni magogo flani hivi, uzuri bila utundu ni kazi bureeeeeeeeee! Ndo maana unakuta mtu ana mwanamke mzuri sana kwa sura, lakini anaenda kupiga mechi za mchangani lol!
 
Ukali wa mwanamke unasaidia nini?Hamu ya ngono haimalizwi na uzuri bali papuchi na uzuri hauongezi mapenz na uelewano kwenye uhusihano buli TABIA. Nafikiri utakua under 18, wekeza kwenye tabia njema, kujiamini na kujitegemea, hakuna mwanaume atakaye kuchezea hata kama utakuwa mbaya kama shetani....
 
to me its better akacheat na mtu aliyenizid engo zote yaani kikazi, uchumi, uzuri wa sura na umbo, ucheshi na upendo chini ya hapo hamu inaisha aisee.

miye ANA alikuwa binti wa kimarangu mzuri wa sura sana japo vingine nilimzidi sana tu.

hahhaahha kongosho hahahah. umeniua
 
tatizo wanaume wale ambao hawajakomaa kiakili wakati wanaoa,huangalia features za nje,ambazo mara nyingi hubadilika.....wanaume wengine huangalia internal beauty,wanaangalia kama huyu mtu naweza kuafford kuishi naye period....:nono:
 
Back
Top Bottom