unajisikiaje mwanamke

Munisijo umeniacha hoi hilo nalo neno ndugu yangu.then mi naona wanaume pia wasikurupuke na kuoa wakahisi ni fashion labda vijana wadogo wanaoa wanatakiwa kujipanga na kujua sasa naingia kwenye ndoa and if god wish ntakuwa na familia yangu means watoto wawe wanajua responsibilities as father pia waache uselfish chukulia umemuoa kwa mapenzi yote na s kumtesa ukamchukulia kama ye ss binadamu mwisho wa sku mariage is more than sura na shepu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mwanamke akikugundua kuwa una dem tofauti na wewe na kama anakupenda kwa dhati - ni moja kwa moja presha inampanda. Usiombe!
 
..dah.. kiongozi namkubali sana huyo dogo kwanye avatar yako kwenye 24hrs...

Kiongozi

Ndiyo mimi huyo...lol

Nitafute kwenye season ya sita baada ya kifo cha kaka David. Nipo ndani ya White house na mama Karen Hayes...

Cheers
 
nitakuwa wa mwisho kutoa maoni yangu!! ngoja niwasubiri wababe wa room kwanza.
 
Uzuri unawavutia wengi, but it takes more than uzuri kumkeep mtu.

Assuming huyo mwanaume sio player but he is looking for something more. Anaweza akikute kwa not so beautiful girl na kuwekeza huko na kumuacha miss Mzuri home.

Kaunga you are such a smart person!!
 
Back
Top Bottom